Zitto Kabwe anafikiria kuacha siasa??!!

Zitto Kabwe anafikiria kuacha siasa??!!

siasa haiachwi wewe! katika historia ya kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewaza kuiacha siasa!
 
Akirudi kigoma akamodernise bishara ya nguruka..angalau sasa wawe wawe bidhaa kwa ku export.masikini wote duniani wale.
 
Njoo Kgm mawese tele

Iviligwa,nyanya ntole,

Mashamba mengi uje ulime .
 
siasa haiachwi wewe! katika historia ya kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewaza kuiacha siasa!

Anabip km mtampigia na kumwomba...Ni njia ya kujipima km kuna hata kaarufu kwa umaarufu kamebaki.Halafu si unajua....mwendo wa CDM ukabila,udini na ukanda si issue tena ya kuwauzia wabongo.Hasa kipindi hiki CCM wamechukua mkoba wao wenye haya (ugaidi,udini,ukabila, ukanda, ufisadi).

Kijana machachri yameishia hapo Siasa imekuwa boring km Hammer na vitu vingine alivyotamani sana na alipopata havikumpa ridhiko.
 
Anabip km mtampigia na kumwomba...Ni njia ya kujipima km kuna hata kaarufu kwa umaarufu kamebaki.Halafu si unajua....mwendo wa CDM ukabila,udini na ukanda si issue tena ya kuwauzia wabongo.Hasa kipindi hiki CCM lwamechukua mkoba wao wenye haya
(ugaidi,udini,ukabila, ukanda, ufisadi).
Kijana machachri yameishia hapo Siasa imekuwa boring km Hammer na vitu vingine alivyotamani sana na alipopata havikumpa ridhiko.

Alianza vizuri siasa lakini atamaliza vibaya. He was too ambitious, kibaya zaidi sio msikivu maana yeye hujiona anajua kila kitu na pia alilewa sifa mapema
 
Alianza vizuri siasa lakini atamaliza vibaya. He was too ambitious, kibaya zaidi sio msikivu maana yeye hujiona anajua kila kitu na pia alilewa sifa mapema

Alipomrudia muumba wake ktk nyumba za ibada alimkuta JK,Lipumba, Ponda basaleh, na Muhamad Said(mwandishi mahiri),said mwema, kova, na wengine, akapata uchungu sana kuhusu historia ya Tanzania.Basi aliporudi ktk siasa akawa ana visions ...za namna hiyo.....baada ya bomu kumkosa mbowe tayari fujo zilianza Jinsi mwenyekiti ka handle issue,mara Zitto kasema hiki mara kile, mara angekuwa bora, mara akazimika....kiza kikamjia tena.Wazee wamegoma hata panya hafi .
 
Alipomzurisa muumba wake ktk nyumba za ibada alimkuta JK,Lipumba, Ponda basaleh, na Muhamad Said(mwandishi mahiri),said mwema, kova, na wengine, akapata uchungu sana kuhusu historia ya Tanzania.Basi aliporudi ktk siasa akawa ana visions ...za namna hiyo.....baada ya bomu kumkosa mbowe tayari fujo zilianza Jinsi mwenyekiti kahandle issue, namara Zitto kasema hiki mara kile, mara angekuwa bora, mara akazimika....kiza kikamjia tena.

Eti leo tarehe ngapi
 
Zitto piga kazi watanzania hawataki kusikia habari hzo tena wanachotaka ni ukombozi siyo mambo unayopost hayo aid in kuwavunja moyo watanzania waliokuamini name kuamini harakati zako. Ushauri Wang huna mpango na ukomboz Bali unaweza kuwa manager Wa kigoma all starz, try it u can do better. Hukawii kusema we no mbuxi Wa kafara
 
atafute mke badala ya kuendeleza ukapera.
Kumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.

Jamaa anaweza kuwa na wanawake wote wanaomrusha roho mjini ili apate ridhikola roho kuwa ni mtu kubwa ila kuzalisha mmoja...mh.Wale viumbe hata wanyama wanachagua sana baba watoto wao.Labda akachukue utaalamu kwa wassira alisevu vipi.
 
Njoo Kgm mawese tele

Iviligwa,nyanya ntole,

Mashamba mengi uje ulime .

Usikurupuke, mbona ccm ni ndugu ndo mwajazana hatujasema, mmezoea siasa za majungu ns uchochezi, hamjawaji kucheza fairplay na wapinzani hii yote sababu ninyi ni majambazi ya kupindikia, sasa mda huu ni wa fairplay na siasa safi zisozo na majungu, lets get to the field till 2015 we will see who will enter in magogoni
 
Labda ukaanzishe consulting firm yako ya uchumi. Lakini usiiongoze wewe kwa kuwa pamoja na ukweli kwamba ni very bright, wewe ni mbishi sana na kila mara unataka ushinde. Kwa kifupi ni kwamba hushauriki.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.

Jamaa anaweza kuwa na wanawake wote wanaomrusha roho mjini ili apate ridhikola roho kuwa ni mtu kubwa ila kuzalisha mmoja...mh.Wale viumbe hata wanyama wanachagua sana baba watoto wao.Labda akachukue utaalamu kwa wassira alisevu vipi.
si ana mtoto tayari jamani na mwalimu wa UDSM
 
Back
Top Bottom