Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Umenena vema mkuu...na kuna watu wanamchochea afanye ayafanyayo ili watu wengi Zaidi wamchukieMzee wa majipu anaanza kuchezea katiba, amevunja nyumba za walalahoi tumekaa kimya amesababisha bei ya sukari na vitu vingine kupanda tumekaa kimya sasa ameanza kukandamiza upinzani, hili hatutakubali
Inakuuma kwa sababu kaamua kuwageuka ccmNaona Zitto anataka kuurudisha upinzani uliopotea kwa miaka mingi.
Vigogo wa ccm naona wameamua kumtelekeza maguUmenena vema mkuu...na kuna watu wanamchochea afanye ayafanyayo ili watu wengi Zaidi wamchukie
Wewe mwenyewe tayari umechokaNani kachoka
Na anatetewa kivipi
Safari ndio kwanza imeanza na hakuna serikali yoyote iliyoshinda vita ya unguvu ya ummaSema hukubari
Unajificha nyuma ya Id fek kisha unaanza kuroha kama umepandwa na mashetani
Wacha kudanganya watanzania, kwani hao polisi hawakujui makao makuu ya act?Zito anatafutwa na polisi lawama kwa Rais zinatoka wapi? Kwani huyo Zito ndiyo anaanza kukamatwa na polisi katika harakati zake za siasa?
Sasa hivi ni vikao vya ndani vya ccm hapo dodomaNi kweli,hivi bunge bado linaendelea au limeisha?
Mkuu kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa,2020 mpatie kura yako lowasa na wabunge na madiwani wake ili tuikatae ccm kistaarabuNimegundua Lowasa alikuwa mtu sahihi kwa Tz najuta kutomsapoti wakati wa uchaguzi yule ndiye alikuwa rafiki wa kweli wa wanyonge
"Tanzania haijpata bado rais"TB Joshua
Hivi kuna mpuuzi kuliko wewe?Kwasasa ni sheria tu hakuna nafasi ya kufanya siasa za kipuuzi.
Mihemko msamehe bure tuKumbe Zitto ndio amejiita polisi kati?
Ni wakati wako wa kuonyesha uttifu kwakeZitto ni mwanasiasa hodari.......anaitoa jasho serikali......kwa hoja zake Kali
Hofu yangu baada ya Wapinzani tutageukiwa sisi wa mitandao hasa JF...
Ubabe siku zote hauzai mema. Kumbuka hata kwenye familia yako tu ukiwa mkali na mbabe mwisho wake ni familia kuharibika. watoto watakuwa na heshima na nidhamu ya woga sababu ya ukali wa baba, Mke naye atakuogopa huwezi kukaa na familia yako kujadili mambo mazuri ya kujenga familia yako. Baadaye watoto wakikua ndo utaona misuguano kati ya baba na watoto. Nadhani kwa ulimwengu wa sasa hivi ubabe siyo njia ya kuongoza. Mbona Mh. Rais alikuwa kisha jenga imani kubwa kwa watanzania? Kuwakandamiza wapinzani wake kisiasi sioni kama ni njia sahihi.Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria
Amani ya Taifa ndio kila kituAmani ....Amanii.....huu Mwezi mtukufu.....tusubiri umalizike...mwezi wa kuomba mema...tuutumie vuzuri...tusiombe mabaya.Wahusika fanyeni subra na tafuteni suluhu.