Zitto Kabwe ajisalimisha polisi

Hofu yangu baada ya Wapinzani tutageukiwa sisi wa mitandao hasa JF...
Kweli kabisaaa after that anakuja na huku kwenye social network
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatareeee aiseee!
 
Sasa ni wapi Zitto amejisalimisha Polisi? Au wewe ni muandishi wa Shigongo?
 
Sasa naanza kuamini kuwa hakushinda kihalali,
Kama angeshida kihalali asingehangaika hivi na wapinzaniiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nilikuwa nawaza jambo hili sana mkuu, huenda nilitokwa povu bure kumtetea wakati ule, napata wasiwasi na ushindi wake,
Kwanini anawaogopa namna hii wakosoaji wake?
 
Bajeti inapitishwa kwa nguvu za jeshi la polisi....ina maana ccm haina imani na wabunge wake?
 
Hivi kama zitto amevunja sheria si apelekwe mahakamani? Sarakasi za nini?
 
Asichokijua Magufuli ni kwamba atapambana na wapinzani na hatashinda isipokuwa atashindwa yeye kuwatumikia wananchi kwa kuwa atapoteza muda wake mwingi kujibu shutuma toka kwa hao wapinzani. Ni kheri aachane nao.
 
Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria
Badala ya kujikita katika kuweka mikakati na mipango ya utekelezaji wa ilani ya chama chake,anahangaika na wapinzani ambao hawajabeba hata rungu!2020 sijui atasingizia wapinzani ndio wamemkwamisha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…