Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Zito Kabwe akichambua ripoti ya CAG ameikalia kooni serikali ya Rais Samia kwa ufisadi na upotevu wa shs trillion 2 ambazo zilitengwa na bunge kwa ajiri ya wizara ya ujenzi lakini Tanroads mpaka mwaka wa fedha wa 2021 unaisha haikujenga barabara mpya hata moja!
Zito Kabwe amemtaka waziri wa ujenzi Prof Mbarawa kuachia ngazi kwa kulidanganya bunge kwamba amejenga barabara mpya wakati CAG anakagua amekuta hamna barabara mpya hata moja iliyojengwa na fedha zimetumika!