Kwa ushahid upi? Hebu watanzania kuweni na akili bas japo kidogo.Sio mnaanza kutokwa na povu wakati hata huo uchunguzi wenyewe hauna uhakika kama kweli upo au la! Hata kama ni kweli anachunguzwa basi subirini muone majibu yatakuwaje ndo muanze kutokwa na povuNa huyu nyepesi hajaonewa hiyo ni kusema kwamba naye jela inamsubiri
ndo maana tunasema apishe kwanza kiti, tunataka tumsafishe si anabidi achuchumae kwanza?
kwahiyo kumchunguza huyu kibopa ni kukosa akili? haya bwana usinitafutie matatizo, ila kung'oka kuko palepale.
pole zzk tatzo ulilonalo ni uzalendo uliopitiliza haya yote yanakuja toka siku ulipogusa ruzuku za chagadema hakuna jambo lolote lingne zaid ya hilo wachaga wanakuchukia sana,nakushaur upunguze uzalendo viva zzk
Kwa ushahid upi? Hebu watanzania kuweni na akili bas japo kidogo.Sio mnaanza kutokwa na povu wakati hata huo uchunguzi wenyewe hauna uhakika kama kweli upo au la! Hata kama ni kweli anachunguzwa basi subirini muone majibu yatakuwaje ndo muanze kutokwa na povu
ndo maana tunasema apishe kwanza kiti, tunataka tumsafishe si anabidi achuchumae kwanza?
Umesema achunguzwe au umeshadadia kwenda dom kumng'oa? kama kweli unaweza fanya hivyo! Basi hii nchi nahama kabisa maana kamwe siwezi kuishi pa1 na punguani kama wew mkosa akili bendera fuata upepo.Ukimsikia zitto tu bac bila kutafakari povu chafu linakutoka!
tunataka uwajibikaji, ndiyo tunajua ni mzalendo sasa asichafue CV yake kwa kukataa kuwajibika, mbona Lowasa Muhongo Tibaijuka wamewajibika? kwa umri wake mdogo ni mapema mno kuchafua CV, ndo maana tunasema hawa vijana hawafai kupewa nchi.
Tunasema wakati anachunguzwa apishe uenyekiti wa PAC kama walivyofanya chenge na ngereja, report yake itasomwa bungeni atasafishwa na atakuwa mtu safi, kuendelea kushupaza shingo ni kuendelea kudhalilika na kupoteza heshima aliyojijengea ndo maana tunasema akigoma kutoka tutaandamana kumtoa kwa nguvu.
Tunasema wakati anachunguzwa apishe uenyekiti wa PAC kama walivyofanya chenge na ngereja, report yake itasomwa bungeni atasafishwa na atakuwa mtu safi, kuendelea kushupaza shingo ni kuendelea kudhalilika na kupoteza heshima aliyojijengea ndo maana tunasema akigoma kutoka tutaandamana kumtoa kwa nguvu.
Hao chenge na ngeleja waliachia nafasi zao kabla ya uchunguzi,wakati uchunguzi unaanza au baada ya uchunguzi nakukutwa na hatia? Ripoti ya CAG iliwatuhumu au?
Ur brain is bancrapted
Msando hajavuta huko PAP? Leka dutigite hawajawahi kulipwa na TANAPA?
Muhongo yule ni dalali hajaonewa bado kumpeleka sero
Serikali hii utafikiri kichwa cha mwendawazimu.
Hawa PCCB wanaojianya wanachunguza wanashindwaje kuchunguza na kubaini wakina nani walichuka ela Mabilioni ya pesa kwenye Lumbesa pale Stanbic bak.?Ni uchizi husio na kifani. Unaacha kuchunguza watu waliokwapua a lot of billions through Stanbic unaanza kukimbizana na hawa watu waliochukua sijui vimilioni kumi sijui tano.Hii ni akili au matope.
Nyie msiokua na wivu mmefika wapi? Umelazimishwa kusoma habari za Tanzania? peleka upuuzi wako ukoHivi mbona munakua na akili ndogo hzo nyaraka ziliibuliwa kipindi kile PAC wananasilisha masuala ya escrow ilikua ni upuuzi wa kubumba lkn siwashangai nyie watazania mna wivu hampendi kuona mtu anang'ara kwa lolote juu ya mafanikio yake ndo haya haya ya diamond mnamfanyia shinda kweli nyie. Wivu usio na maana kabisa mtu anasapoti ujinga kweli hamtaweza fka.
Jibu swali uliloulizwa post #171 .Et leo mnaukubali ushahid wa Lusinde kwakuwa unamchaua zitto,kesho huyoohuyo Lusinde mnatukana mropokaji hahahahaha