Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Baaada ya Hamadi Rashidi, Mrema na Sasa Kitila, kuna uwezekano mkubwa Rais wetu akaendeleza nia yake ya kuwashirikisha wapinzani katika serikali yake na kwa mantiki hiyo zitto atakuwa miongoni mwa ambao wanaweza kushirikishwa. Lakini pia hata akina Mbowe, Lowassa, Maarim wajiandae na Nina uhakika hakuna atakayeteuliwa na akatae