Zitto, imetosha sasa

Ushahidi wa uovu wa Zitto dhidi ya wananchi wa Tanzania ingawa ni wa kimazingiza lakini is overwhelming.Zitto ni ndumi la kuwili.Zitto amenunuliwa na mafisadi, no question about it.Anaye bisha ni kipofu.Kwanza huyu anayemtetea Zitto katumwa na nani?


mimi ni ndumilakuwili mara mbili. aliyetoa mada naunga mkono hoja; wanaompinga naunga mkono hoja; kwa kuwa wote hawana ushahidi wa yale wanayoyasema au kuyawaza juu ya zitto.

lakini huyu zitto.....

ngoja kwanza unabii wa kugeuza Kigoma kuwa Dubai utimie au ufulie. nita-comment kuhusu zitto. kwa sasa nabaki kujiuliza juu ya hawa wanaokuja na hoja za mkoa wa kipolisi wa kigoma. kama kigoma inakuwa dubai, otomatikale polisi watataka wakafanye kazi huko ili wakale pepo.
 
Hata leo zitto akisema anahama chama sitashangaa.kila mgogoro ndani ya chama lazima zitto yumo.kwa nini?
 


Tatizo lenu John Mrema, John Mnyika, Regia mtema, Basil Lema ,God Bless Lema Benson Kigaila na wachaga wengine wa ndani na nje ya CHADEMA mmejaa chuki binafsi katika mambo yote yanayomuhusu zitto.\
uzuri wenu ni waoga sana kiasi kwamba hamtaji majina yenu humu jamvini..
mbona kamati ya kina mnyika imeshauri DOWANS inunuliwe na wewe Mnyika umekaa kimya?...
Acheni majungu majungu yasiyo na kichwa wala miguu watanzania wana mengi ya kufanyiwa...
Zitto keep it up...TUNATAKA ZITTO UGOMBEE URAIS 2015 NA UTASHINDA.
 


NINI USHAURI WAKO SASA ILI TATIZO LA UMEME LIISHE?...MBONA UNAONGEA KAMA KICHAA.
Tatizo lenu John Mrema, John Mnyika, Regia mtema, Basil Lema ,God Bless Lema Benson Kigaila na wachaga wengine wa ndani na nje ya CHADEMA mmejaa chuki binafsi katika mambo yote yanayomuhusu zitto.\
uzuri wenu ni waoga sana kiasi kwamba hamtaji majina yenu humu jamvini..
mbona kamati ya kina mnyika imeshauri DOWANS inunuliwe na wewe Mnyika umekaa kimya?...
Acheni majungu majungu yasiyo na kichwa wala miguu watanzania wana mengi ya kufanyiwa...
Zitto keep it up...TUNATAKA ZITTO UGOMBEE URAIS 2015 NA UTASHINDA.
 
kwani ye hapend kuwa kama RA mwenzenu ashapata ten percent yake aaaaaaaaaaaah waka huu atanunua cadillac
 
 
 
Tunajua Zitto ni mwana JF wa muda mrefu ndio maana munapenda kufuatilia mambo yake na kuyakosoa, lakini pia tuwe waangalifu katika kujadili mada, twende kwenye hoja ni si mashambulizi binafsi ili naye aweze kuja kuchangia na ndio mjadala unanoga (kama JF ilivyo kawaida) lakini munaposhambiliana humu haijengi na matokeo yake watu wanakwepa kujitokeza na tunapoteza watu makini zaidi.

Kuna mambo ya msingi ambayo tunahitaji kuyasubiri kwa Zitto mwenyewe ikiwa ni pamoja na kujibu kwa vitendo baadhi ya hoja za wana JF ili kurudisha imani kwa wale ambao wanaonekana kukata tamaa naye. Naamini wengi wa wanaokata tamaa sasa ni wapenzi wake, vinginevyo wasingekuwa na sababu ya kukata tamaa. Huwezi kumkatia tamaa mtu asiyekuhusu. Najua wanaomshambulia kama si wote, basi wengi ni wale ambao wanaamini Zitto ni kiongozi na wanataka kumuona akiwa na makali yale yale waliyomuona na kumhusudu, wanataka aendeleze kile ambacho kiliwavuta kumfuata na kumpenda.

Naamini hatuhitaji kukurupuka katika hili.

Kuhusu miradi ya Mchuchuma na Liganga na ule wa Kiwira, miradi hii imegubikwa na ufisadi mkubwa na sasa angalao kuna mwanga. Mawazo ya Zitto na kamati yake, yajadiliwe kwa busara kama ambavyo Mwanakijiji amejadili na wengine twende kwenye hoja ili Zitto na wengine wajadili kwa ustaarabu na si kuanza mashambilizi na kuleta hoja za kukatisha mjadala. Kushambuliana hakujengi na matokeo yake hata huko kutetea maslahi hakutakua na maana kwa kuwa tutaishia kushambuliana badala ya kupata maelezo ya kina ya kuelimisha na kusaidia Taifa. Itafika wakati watu wataanza kufikiria wanaopotosha mada humu kwa kushambuliana ndio wametumwa na mafisadi kuzuia kunyang'anywa kwao miradi ya Mchuchuma (MM_steel ya Subash) na Kiwira (Tanpower ya Mkapa na Yona).

Kina Karamagi na Mramba walimega mradi wa Mchuchuma na Liganga kwa staili ya vichuguu na kutoa Mchuchuma na Liganga kwa MMM Steel ya Subash wakisaidiwa na aliyekuwa mbunge wa Ludewa, Profesa Mwalyosi. Waliwakatisha tamaa wawekezaji wa kimataifa waliotaka kufanya kinachotaka kufanywa sasa na Wachina (japo nao wanatakiwa kuchunguzwa) na ndio maana wananchi walipopata uelewa wakamng'a na kumpa Deo Haule Filikunjombe.... sasa na yeye Deo asijisahau na kuanza kushambulia wapambanaji kama Mwanakijiji, angeenda kwenye hoja kutetea mradi wa jimboni kwake tu.

Mengine zaidi tutaendelea kupeana taarifa
 
MKUU LABDA USEME NYINYI MNAPENDA KUWA ZERO CORRUPTION ILA HAIWEZEKANI UNATAKA TUSEME MIKATABA YA RUSHWA KWENYE UJENZI!?? MNANUKA MKUUU! sana tuu!
 
PPF ina ufisadi wa kutisha lakini mbina hawafuatiliwi kama mnavyowaandama NSSF?
Mkuu WaTZ huwa tunaangalia VINAVYOONEKANA kwa nje si vile VILIVYOJIFICHA.. ndio maana wala rushwa ndogondogo kesi zao ziko mahakamani wale wala rushwa kubwa hawaonekani wala wengi hawakamatwi kwa sababu wana akili sana na mapesa yao yapo kwenye mzunguuko!
Kweli watanzania tunaumwa!!
 
Acha ubwege wewe....kanisa... kanisa,aliyekwambia muasisi na mwenyekiti wa kwanza wa CDM Mzee Edwin Mtei,Mzee BOB Makani,Freeman Mbowe,makamu mwenyekiti wa sasa CDM mzee Said Arfi ni wakatoliki nani?au kwa kuwa Slaa Mkatoliki na aligombea urais basi tena ndio CDM imekuwa inafuata matakwa ya wakotoliki?hizo ni fikra mpauko zilizotumiwa na ccm wakati wa uchaguzi na ambazo wamekua wakizitumia karibu katika kila uchaguzi mkuu hapa tz,nashangaa wewe bado zimekuganda mpaka leo,hivi unakumbuka ile propaganda maarufu ya ccm kipindi cuf ikiwa ngangari kweli kwamba CUF ni ya waislam na eti ikipewa dola itaitangaza Tanzania kama ISLAMIC STATE?au ulikua bado hujazaliwa enzi hizo kijana?basi nenda pale ccm lumumba kamuulize TAMBWE HIZA atakupa uzoefu wake akiwa cuf alivyopambana na makada wa ccm kuisafisha CUF juu ya uzandiki huo wa ccm kuiapaka matope CUF.kama kweli wewe ni muislam mwenzangu usiikubali ghilba hiyo ya ccm.
 

Hiyo kampuni Tanzu watakoanzisha itakuwa ya hisa za nani? Je wanachama wa NSSF watakuwa na hisa ambazo NSSF inaweza ikafanya "matching shares" na kuwarudishia wanachama hao dividends kila mwaka wa faida?

Kwanini basi NSSF isianzishe a holding company ambayo itasimamia uwekezaji wake wote na iwe nje ya uongozi wa NSSF na iwe ni kampuni ya limited?
 


hapo kwenye pink color nimepapenda...hivi mzee wa Fursa aliishia WAPI na yale mawazo ya kufungua kesi dhidi ya NSSF???. I asked NSSF guys when they came to our offices 2007 'what is their priorities when investing'?? sababu mimi nilipendekeza wajenge nyumba ambazo members wake tunaweza ku-afford na wao watukate kupitia michango yetu ya kila mwezi lakini wapi...these people are pumbavu kabisa...wanajenga premier appartments ambazo memba wengi cannot afford, so what are the benefits to normal members??? nothing, I think it make business sense if they can establish a WIN-WIN situation between members and board of trustees/gov't sasa wao wanaangalia mambo makubwa which I don't think it's the reason of establishing such forceful fanthom which we're forced to contribute without benefiting. Tupeni malengo ya NSSF jamani hapa jukwaani, mi INANIUMA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…