Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Tatizo hapa ni Zitto kusemea hili jambo au ni NSSF kupewa Kiwira?
Inawezekana kwamba tunapinga kwa sababu Zitto kasema au tunakubali kwa sababu Zitto kasema.
Sisi, mimi na wewe, tunasemaje?
Na Zitto hawezi kutoa amri, naamini hilo analijua na nafasi yake ya kushauri kama kamati anaifahamu. Mawazo yake ndio ya kujadiliwa. Kwa nini anasema hivi na sio vile.
Mwisho, tunawasiwasi na NSSF kutokana na uwezo au tunawasiwasi kuna watu watakula hapo katikati?
Kama ni sababu ya pili, basi tuna tatizo zaidi. Kwa nini mtu ambaye tunawasiwasi nae ndie amekabidhiwa fedha zetu na ndie anaendelea kupokea makato yetu? Kwa nini tusisafishe huo uozo tunaoungelea?
Nitarudi nikishaielewa vizuri hii mada.