..........sijui watanzania tumerogwa na nani , badala ya kujadili hoja tumeingizwa chaka na wenye mawazo ama madogo au ya upande fulani, suala kilichoandikwa kina mashiko? Sio swala la nani kaandika, sasa hata katika akili ya kawaida tu unaona zitto yupo sahihi? Tayari suala lilishakuwa la chama, nani kaanzisha hoja sio suala la msingi sana kwa upande moja, hapa ukiangalia utaona hata kama ni kidogo jinsi zitto alivyo ama mbinafsi (kujiweka juu ya taasisi-cdm) au anavyopenda kushabikia umimi.....