thanks dada kwa hiyo website. Hapo zitto hawezi kitu. alafu anaboa kweli siku hiziWhat about this one? He lives in Kampala and gave a talk in Arusha Tanzania? what would be ur reaction?
[COLOR=red]http://www.ted.com/talks...RL]http://www.youtube.com/watch?v=ZFqcs7asvqk
I might be dumbest but not both like u, an A$$hole and dumbest in the entire universe.
Nimekupa challenge ndogo tu, kuhusu Industrial Revolution, jinsi ilivoanzia Uingereza na kusambaa sehemu zingine za Yuropa hadi America na Asia. Nimeuliza hii ilihitaji mikopo na misaada kutoka wapi. Hiyo huwezi kuelewa maana akili yako imehifadhiwa kwene kibakuli kidogo cha kukinga bakuli , kusaidiwa na kuwezeshwa. Kwa mtu tegemezi wa akili na kimahitaji kama wewe ni vigumu kwa kweli kuona maisha nje ya duara la misaada. Sio kosa lako, ndio maana nikasema ingekuwa Uchina wangepoteza kabisa DNA zenye kansa ya watu kama wewe.
What about this one? He lives in Kampala and gave a talk in Arusha Tanzania? what would be ur reaction?
Andrew Mwenda takes a new look at Africa | Video on TED.com
au hapa akiongea nje ya nchi
YouTube - Andrew Mwenda on Accountability and Taxation in International Aid
..and what is that I don't understand? Naona unapayuka tu, nasikia hata uvivu kujibu matapishi yako.You don't understand and I think you know that.
Well, I take it that industrial revolution haikuhitaji mikopo wala misaada ya nje [this may not be true but I leave it there]. What you are implying here is that Tanzania ikifutiwa misaada ya nje, kitakachofuata ni industrial revolution. This is oversimplification and NOBODY KNOWS WHAT WILL COME WITH ZERO FOREIGN AID.
I might be young in terms of age, which is a prerequisite for FLEXIBILITY lakini sio kielimu maana I'm sure nakuzidi kwa mbaaali (kaa unabisha weka email yako nikuforwardie mavyeti yangu ya kitaalauma na kikazi) so dude don't go on that direction. K?Eti nimekupa challenge, you must be kidding! Dude, you are still young. Better go back to school!