johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,968
- 146,178
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed aliyefariki Dunia
Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa
Source Jambo TV
Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa
Source Jambo TV