Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji huo urejeshe heshima yake ya kihistoria
Akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Kitongoni, Septemba 26, 2025 Zitto alisema:
"Sisi si tumeondoka 2020, wenyeviti wa serikali za mitaa walikuwa wa chama gani? Madiwani walikuwa chama gani? Mbunge chama gani? Rais chama gani? Soko wamejenga? Sasa kwanini mhangaike na miaka mitano ile ya juzi, miaka yenu mitano hamsemi mmefanya nini."
Soma pia

- GE2025 - Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua
- GE2025 - Zitto Kabwe: Bunge la Miaka Mitano iliyopita lilikuwa Buyu na Kibogoyo