Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,971
Nimeshangaa sana kumsikia Mh Zitto Kabwe akidai kuwa Bajeti ya Mwaka huu ni ya kulipa mishahara na kulipa Madeni!
Pia pamoja na kufuta safari za nje, semina, nk hadi kufanya maisha kuwa magumu mtaani eti MATUMIZI YA SERIKALI YA AWAMU YA 5 yameongezeka badala ya kupungua!
Sasa ukali wote wa JPM nilifikiri unatupeleka kwenye NEEMA kumbe tunarudi nyuma?