Zitto avuliwa wadhifa wake bungeni wa Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni rasmi

Nyie ndo mliomfikisha hapo. Kumsifia saana na kumwambia hakuna tena kama yeye. Tena mkamdanganya kuwa bila yeye hakuna CDM. Mkasahau ya kuwa CDM ilikuwepo kabla ya umaarufu wa ZZK. Tena bila CDM; ZZK si kitu chochote.
Sasa CDM imemtema mnaanza kumwonea huruma? Aende tena kwingine, huenda huko akapata umaarufu. Watu kama ZZK wanahitajika sana huko.
Nampa pole
 
CCM wamemtumia kwenye tyming zao wamemchoka hawamtaki!
Angalizo; CCM wana hasira na Zitto kuliko CHADEMA walivyo na hasira naye mana kala hela zao na kazi ya kuivuruga CHADEMA imemshinda.
 
Jioni mwanasheria mkuu kamuumbua zito juu ya kutokuwa nayo majina ya walioweka pesa kwenye mabenki ya nje ya tanzania.baadaye kamati ya wabunge wa chadema imekaa na kumuondolea umakamu wa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.hili limethibitishwa na katibu wa wabunge hao.
Zito sasa kwa hakika hawezi "ku -undo" kuporomoka kwa hadhi yake kama mwanasiasa maarufu.

Weka picha
 
Tumeshatumia, Chukueni Coz hiyo ni Used Condom yetu!

Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Hapo ndo ninapoipendaga CDM hakuna kuremba remba. We have no time with iscariotes. Ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa. CDM Leo nitalala usingizi mnono.
 
Jioni mwanasheria mkuu kamuumbua zito juu ya kutokuwa nayo majina ya walioweka pesa kwenye mabenki ya nje ya tanzania.baadaye kamati ya wabunge wa chadema imekaa na kumuondolea umakamu wa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.hili limethibitishwa na katibu wa wabunge hao.
Zito sasa kwa hakika hawezi "ku -undo" kuporomoka kwa hadhi yake kama mwanasiasa maarufu.

Mie nilidhani George J Minja ndio mwanasiasa maarufu kumbe Zitto ndio mwanasiasa maarufu?

Back to the topic kwakuwa ameshavuliwa vyeo vyote je hamuoni ni wakati muafaka wa kuendelea na mambo mengine yenye tija kuliko kutwa kumtaja Zitto? Ni mtazamo tu
 
So hiyo nafasi kapewa Sugu????? Shame. Shame. CHADEMAmtajajuta namiambieni.
 
Siasa ni Akili sio Nguvu. CCM imetumia akilli nyingi sana nguvu kidogo kummaliza Mwanachadema Machachari Zitto Kabwe, Leo Chdema wote wapo upande wa Mh.William Lukuvi na Werema dhidi ya Mwanakindakindaki wao! CCM ni Msitu wa Vipaji!
 
Gambas fafanua kidogo maana ya "muda mfupi uliopita"
manake tunakaribia usiku wa manane sasa.

Unashangaa taarifa ya saa nne usiku wakati kamati kuu ilimvua nyadifa za kichama saa kumi usiku?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mie nilidhani George J Minja ndio mwanasiasa maarufu kumbe Zitto ndio mwanasiasa maarufu?

Back to the topic kwakuwa ameshavuliwa vyeo vyote je hamuoni ni wakati muafaka wa kuendelea na mambo mengine yenye tija kuliko kutwa kumtaja Zitto? Ni mtazamo tu

ungeonyesha mfano kwa kutokumjadili huyo zitto na ufanye mambo yenye tija. cha ajabu na wewe umeliendeleza libeneke.
 
Unashangaa taarifa ya saa nne usiku wakati kamati kuu ilimvua nyadifa za kichama saa kumi usiku?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu unamaanisha hadi uanachama kavuliwa au? Hebu fafanua.
 
Siasa ni Akili sio Nguvu. CCM imetumia akilli nyingi sana nguvu kidogo kummaliza Mwanachadema Machachari Zitto Kabwe, Leo Chdema wote wapo upande wa Mh.William Lukuvi na Werema dhidi ya Mwanakindakindaki wao! CCM ni Msitu wa Vipaji!

eeh yamekuwa hayo tena!!!!
 
duh masikini zitto, mabalaa leo yamekupata, Kutaka kuwa maarufu kuliko chama nako kumekuponza, ulifikiri Slaa alikuwa maarufu kwa kutaja majina ya mafisadi tuu? Bora ungeomba ushaur kwake kabla hujaanza paramia haya mambo,,,,,,
 
Back
Top Bottom