Zitto avuliwa wadhifa wake bungeni wa Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni rasmi

Mzimu wa Chacha Wangwe umekaba hadi Penat sasa wale wote wanaodhani Kuwa Mzimu haukumbuka yote wanajidanganya Tu
 
Huyu Shobo ni mjinga sana.


Kohelethi;8083538]Kutawala milele inawezekana kwa ccm kama tu utaijaza tanzania kwa kizazi chako tu ili uwaambukize ujinga wako huu.Mungu peke yake atadumu milele.
 
safi sana,akaanzishe chama chake na Kafulia wawe wanagombe uenyekiti,maana hawa vijana wa chigoma wanafujo sana
 
Chadema haikumtema, semeni kweli, imemnyang'anya vyeo.

Tunasema mfutieni uanachama, kama mna-uwezo huo. Mnangoja nini?

Hatumpandishi chat kwa kuongozwa na magamba. Mbona yale magamba yenu yalikwamia viunoni hamjafanya chochote? Mbona mapacha 3 waliwapandisha nyongo? Mbona Bukoba mlimeza matapishi yenu mbele ya madiwani tu. Jamani, maccm yamekufa macho kabisa. Yanangojea kuwaweka wabunge wa mahakama tu. Poleni sana mnangojea vya kunyonga tu
 
Back
Top Bottom