Zitto atua Dodoma kuinadi ACT

Zitto atua Dodoma kuinadi ACT

Vyama vya majina ya kizungu haya hatuvitaki kabisa. Bora CCM iendelee kutawala kama CDM ikishindwa. Hatutaki kuhudumia matumbo ya watu hapa Wananchi tumecoka. Habari za ZZK sio mpya. Ni sawa na alikokuwa

Usiangalie majina bali vyama hivyo vinasimamia nin?ni kweli CCM na Chadema kisera wanafanana, zinatofautiana majina tu.

Tumepata this time chama chenye misingi tofauti, ndio maana unaanza kusikia hoja zikianza kuongelewa.Ndio tunapaswa kwenda huku.

ACT ina aina ya siasa inayolifaa taifa letu, maana tukiwa na vyama uniform vinavyofanana kuna haja gan basi ya kuwa navyo?ACT kimekuja tofauti, turudi kwenye misingi.
 
twendw twende x 3 ; zitto twende.

Tunamisongi mingi ya ACT ; Tunataka promo
 
Sera ya udini,ukabila amewaachia wenyewe Chagadema.
ACT wanasera gani?mbona unajiaibisha hawana lolote wanajambajamba tu wao ni kuvuruga upinzani,Ayatola wenu kila anakokwenda ni kujisifia tu na sana anaeneza udini hasa kigima.
 
CDM sio chama bali ni NGO ya Mbowe na watu wake, tangu lini pensheni ya mapato ya chama inalipwa kwa wasisi?

Act sio chama bali ni NGO ya zito , aliyoitengeneza kwa kufadhiliwa na ccm ili kuipunguza kasi chadema. We know sana kabisa. Hatudanganyiki.
 
Teteteteh....siku hizi habari leo ina ripoti upinzani?.Si mnakatazwa kuripoti issues za upinzani?.Huyu zito mna ripoti kwa misingi gani?jibu mnalo waswahili,mafisadi.

Na vijana wa Lumumba wamekua mstari wa mbele kueneza ACT badala ya CCM kweli Zito mjamaa
 
Usiangalie majina bali vyama hivyo vinasimamia nin?ni kweli CCM na Chadema kisera wanafanana, zinatofautiana majina tu.

Tumepata this time chama chenye misingi tofauti, ndio maana unaanza kusikia hoja zikianza kuongelewa.Ndio tunapaswa kwenda huku.

ACT ina aina ya siasa inayolifaa taifa letu, maana tukiwa na vyama uniform vinavyofanana kuna haja gan basi ya kuwa navyo?ACT kimekuja tofauti, turudi kwenye misingi.

Acha kutadanganya hapa sisi sio wavivu wa kufikiri kama wew na kuburuzwa na zito huku yeye akivuta mkwanja kutoka kwa ccm. Ati ccm wawe na sera sawa na cdm?? Kamdanganye mkeo. Ccm huiba sera za cdm na kuanza kujinadi. Sera ya elimu bure ni ya ccm au ya cdm?? Katiba mpya ni sera ya ccm au chadema. Nyamaza kimya kama hujui kitu kuliko kupoteza watu wew mvivu wa kufikiri.. ndo mana mnaombewa pesa kutoka kwa migulu ili muwe kwa media kupamabana na cdm. Tumeanza na Mungu tuna maliza na Mungu.
 
Huku ndo kutekenyana na kujichekesha wenyewe kwa wenyewe ... Hossam, Ruttashobolwa, lubajaro, BOMBAY, R.B, Kapwela wote hao ni Zombie za CCM chini ya ACT ...
Teh Teh ....mwaka huu Bavicha mtajuta kumfahamu Zitto.
 
hivi hiki chama kina mpiga debe mmoja tu??? si atachoka - mikoa yote apite, wilaya zote, tarafa zote, kata zote, vijiji vyote, vitongoji vyote, mitaa yote - by the time anamaliza sisi tunakaribia uchaguzi wa 2020.
 
Watanzania wanataka kusikia habari ya Katiba mpya kama inafaa ama haifai, Tume huru ya uchaguzi, Uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na Uchaguzi mkuu mwezi October - sasa mtu mwingine eti anatanganza chama chake kipya!!
kama huna la kuchangia, kunyamaza pia ni njia nzuri ya kuchangia
 
ACT wanasera gani?mbona unajiaibisha hawana lolote wanajambajamba tu wao ni kuvuruga upinzani,Ayatola wenu kila anakokwenda ni kujisifia tu na sana anaeneza udini hasa kigima.

Lugha yako tu inaonyesha fikra zako zilivyo.

ACT ni chama kinachoamini katika ujamaa ma kinachoamini katika misingi ya utaifa iliyoasisiwa na waasisi wa taifa hili.Misingi itakayomlinda mnyonge wa nchi na kuhakikisha uwajibikaji na uadilifu wa viongozi.

Ndio maana wanasema TURUDI KWENYE MISINGI
 
Acha kutadanganya hapa sisi sio wavivu wa kufikiri kama wew na kuburuzwa na zito huku yeye akivuta mkwanja kutoka kwa ccm. Ati ccm wawe na sera sawa na cdm?? Kamdanganye mkeo. Ccm huiba sera za cdm na kuanza kujinadi. Sera ya elimu bure ni ya ccm au ya cdm?? Katiba mpya ni sera ya ccm au chadema. Nyamaza kimya kama hujui kitu kuliko kupoteza watu wew mvivu wa kufikiri.. ndo mana mnaombewa pesa kutoka kwa migulu ili muwe kwa media kupamabana na cdm. Tumeanza na Mungu tuna maliza na Mungu.

Labda kama hujui, ebu sema hapa ni aina gani ya uchumi Chadema wanataka kujenga tifauti na aina ya uchumi unaojengwa na CCM?

Ni mfumo gani wa elimu chadema wanataka wauweke tofauti na huu wa Ccm?

Ni mfumo gani wa miiko ya uongozi Chadema wanataka kujenga tofauti na iliyopo sasa?

Ni mfumo gani wa kodi Chadema watausimamisha tifauti na huu wa sasa??

Wote CCM na Chadema msingi wao sasa ni Mlengo wa Kati, tofauti yao ni majina ya viongozi tu.

ACT wamekuja tofauti kwa kujipembenua kushoto yaan, kama chama cha Kijamaa, kitakachosimamia baadhi ya misingi muhimu ambayo ililisimamia taifa hili ambalo sasa hakuna chama kilichopo kina mpango nayo, ndio maana ACT atleast sasa wamekuja na hoja tofauti na vyama hivi vingine.
 
Watanzania wanataka kusikia habari ya Katiba mpya kama inafaa ama haifai, Tume huru ya uchaguzi, Uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na Uchaguzi mkuu mwezi October - sasa mtu mwingine eti anatanganza chama chake kipya!!

Tulia fuso, wakati unatangaza sera hayo yote unayasemea. hofu ondoa. ni suala la kusema msimamo wako.
dawa inapenyeza kidogokidogo mpaka mtaelewa Nini maana ya kuwa mzalendo.
 
Tulia fuso, wakati unatangaza sera hayo yote unayasemea. hofu ondoa. ni suala la kusema msimamo wako.
dawa inapenyeza kidogokidogo mpaka mtaelewa Nini maana ya kuwa mzalendo.
hamtafika popote, mmengia kwa gia siyo!! mshauri wenu anawapoteza!! huwezi kujenga msingi wa chama madhubuti kwa mbinu za kiujanja unjanja (usanii)!! never!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hamtafika popote, mmengia kwa gia siyo!! mshauri wenu anawapoteza!! huwezi kujenga msingi wa chama madhubuti kwa mbinu za kiujanja unjanja (usanii)!! never!!

Kaka tulia hakuna usanii. ACT-Wazalendo ni chama cha wazalendo. hata wewe naamini kabisa ni mzalendo usihofu kujiunga. hofu ondoa ACT-Wazalendo ndio mkombozi wa kila mnyonge.
 
Back
Top Bottom