Zitto atoa orodha ya wabunge wa upinzani wenye kesi mahakamani, walionusurika kuuawa na wale waliowahi kufungwa jela ktk utawala wa awamu ya 5

17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!
Team POLONIUM hawataki Facts kama hz,wao ni mihemko ya usaliti ...usaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanaleta ujinga waachwe tu?

Mahakama safisheni wote hao wajinga wajinga, upinzani uchwara kazi kumzushia Lowasa ufisadi kumbe hata ushahidi hayana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mafisadi imeanzishwa mbona kina E.L, Vijicent ,Rostiam, Tobojuka,Ngwelenja,.....Naskuizi eti team POLONIUM mnaitambua List of Shame ya mwembe yanga ya Tabibu Bunduki...., cha Ajabu wako nnje na mahakama ya Mafisadi ipo nyeupee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani inabidi mupewe trophies za kuwa watu mnaoongoza kwa kuvunja sheria nchini

Aibu

Hii listi ndio mmejimaliza kwa kurahisishia wengine kazi kuitumia..

Mnaotaka muambiwe muitumiaje 2020.. karibuni kuomba msaada.. mpate nondo na zingine nyingi tu kupata kura za ushindi.. eeeeeeeh upinzani viongozi bure kabisaaaa
 
Kwahiyo !!
mwache apoteze muda tu Leo hii Kigoma kama Likijiji
Yupo busy kuropoka tu
Magu Rais 2020-2025
Aimbe alie Hakuna namna
Ni mungu pekee atakaye amua vinginevyo
Raia namba moja na mtetezi wa wanyone aka mzalendo wa nchi kashindwa kuwasaidia kigoma mjini?.
Ama yeye ni kiongozi wa madaraja na madege?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!

Mngejitofautisha na wenzenu kwa kuachana kabisa na hile neno Hon, Nyerere alisema tuitane Ndugu, ninyi hampendi undugu mnajiweka daraja jingine la kupenda kutukuzwa huku mkijinadi mnawatumikia watu, kwanini mnadanganya watu kuwa mnawatumikia wakati mnawataka wawanyenyekee kama miungu watu? (ati waheshimiwa) kwani msikubali kuitwa ndugu ili mfanane na mnaowatumikia?
 
17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!
Nimekuuliza mara nyimngi juu ya jina lako na lile la Zitto. Nikiangalia mitambo ni wewe huyo huyo. Kwani ukitumia jina la Zitto lina mkosi? Haya! Zitto tangu lini akawa mwema wa nchi hii na kutusaidia kiuchumi? Uchumi wa internet na kuiga mijadala ya EFF?

Tatizo la upinzani ni ufahamu mdogo! Model ktk upinzani ni Slaa. Alijaa hekima, busara, reasoning, gauging man, nk. Alizungumza maendeleo na sera siyo matusi yenu. Alipiga vita ufisadi kwa vitendo, siyo ninyi munaokesha na skendo za upigaji.
 
"Hakika ni jambo la kushangaza kwamba Komredi Zitto hana kesi ya Uchochezi wala hajawahi kunyimwa dhamana kwa sababu ni CCM"
 
Hongera Hon Zitto for the move. Huo ni mwanzo mzuri, ila nafikiri ni vyema ingetolewa orodha kamili ya matukio ya utekaji, mauaji, na attempts za utekaji/mauaji zilizoibuka kwa kasi tangu uchaguzi wa mwaka 2015 umalizike. Kila tukio lililotokea na hatua serikali ilizochukua.
Kwa mfano:
1. Mo (Mohammed Dewji):
Kidnapped then released, Action by government: unknown, Suspects: None, Investigation status: No police report released.

Ripoti hizi zitaelimisha sana raia na kuwaonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wasiotiliwa mashaka hasa kwenye kuheshimu katiba na haki za binadamu.
Na ripoti hiyo inatakiwa kuchapishwa kwenye magazeti ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa viweke rekodi
 
17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!

Kesi haichagui chama - toa na orodha ya wabunge wa CCM
 
Back
Top Bottom