Zitto atoa orodha ya wabunge wa upinzani wenye kesi mahakamani, walionusurika kuuawa na wale waliowahi kufungwa jela ktk utawala wa awamu ya 5

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi na ufisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!
 
Wabunge wenye kesi za kisiasa ( uchochezi ) mahakamani mpaka sasa

Wenye Kesi kwa ujumla

1. Freeman Mbowe
2. Zitto Kabwe
3. Tundu Lissu
4. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Esther Matiko
6. Esther Bulaya
7. John Mnyika
8. Godbless Lema
9. John Heche
10. Cecil D Mwambe
11. Halima Mdee
12. Zubeda Sakuru
13. Rev. Peter Msigwa
14. Susan Kiwanga
15. Peter Lijualikali
16. Pascal Haonga
17. Frank Mwakajoka
18.

Walio rumande
1. Freeman Mbowe
2. Esther Matiko
3. Susan Kiwanga
4. Peter Lijualikali

Waliokwisha fungwa

1. Joseph Mbilinyi
2. Peter Lijualikali

Waliopigwa risasi
1. Tundu Lissu

Aliye na idadi ya mafisadi waliofungwa aitaje then tujue anapambana na ufisadi au upinzani
 
Wabunge wenye kesi za kisiasa ( uchochezi ) mahakamani mpaka sasa

Wenye Kesi kwa ujumla

1. Freeman Mbowe
2. Zitto Kabwe
3. Tundu Lissu
4. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Esther Matiko
6. Esther Bulaya
7. John Mnyika
8. Godbless Lema
9. John Heche
10. Cecil D Mwambe
11. Halima Mdee
12. Zubeda Sakuru
13. Rev. Peter Msigwa
14. Susan Kiwanga
15. Peter Lijualikali
16. Pascal Haonga
17. Frank Mwakajoka
18.

Walio rumande
1. Freeman Mbowe
2. Esther Matiko
3. Susan Kiwanga
4. Peter Lijualikali

Waliokwisha fungwa

1. Joseph Mbilinyi
2. Peter Lijualikali

Waliopigwa risasi
1. Tundu Lissu

Aliye na idadi ya mafisadi waliofungwa aitaje then tujue anapambana na ufisadi au upinzani
wapi Halima Mdee
 
Kwahiyo !!
mwache apoteze muda tu Leo hii Kigoma kama Likijiji
Yupo busy kuropoka tu
Magu Rais 2020-2025
Aimbe alie Hakuna namna
Ni mungu pekee atakaye amua vinginevyo
 
Hongera Hon Zitto for the move. Huo ni mwanzo mzuri, ila nafikiri ni vyema ingetolewa orodha kamili ya matukio ya utekaji, mauaji, na attempts za utekaji/mauaji zilizoibuka kwa kasi tangu uchaguzi wa mwaka 2015 umalizike. Kila tukio lililotokea na hatua serikali ilizochukua.
Kwa mfano:
1. Mo (Mohammed Dewji):
Kidnapped then released, Action by government: unknown, Suspects: None, Investigation status: No police report released.

Ripoti hizi zitaelimisha sana raia na kuwaonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wasiotiliwa mashaka hasa kwenye kuheshimu katiba na haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom