Zitto atoa orodha ya wabunge wa upinzani wenye kesi mahakamani, walionusurika kuuawa na wale waliowahi kufungwa jela ktk utawala wa awamu ya 5

nilifikiri ungehoji kutotoa aliyeuza nyumba zetu za umma kwa HAWARA ZAKE na kupora korosho za waliomaskini huko mikoa ya kusini kisha kajikaiusha
pia aliyepeleka kivuko chetu jeshini yule aliyeenda loliondo kufakamia mimaji
Hoji wewe kama unataka.
 
Zitto ni mchochezi naomba 1 hapa nichini, hivi kweli msomi kama Zito hajui kama viashia vya kukua kwa uchumi hubadilika kutokana na wakati? Kuanzia 2016 kiashilia kimojawapo cha uchumi kukua na sirikali kuwa strong ni kufunga wapinzani wote!
 
Wabunge wenye kesi za kisiasa ( uchochezi ) mahakamani mpaka sasa

Wenye Kesi kwa ujumla

1. Freeman Mbowe
2. Zitto Kabwe
3. Tundu Lissu
4. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Esther Matiko
6. Esther Bulaya
7. John Mnyika
8. Godbless Lema
9. John Heche
10. Cecil D Mwambe
11. Halima Mdee
12. Zubeda Sakuru
13. Rev. Peter Msigwa
14. Susan Kiwanga
15. Peter Lijualikali
16. Pascal Haonga
17. Frank Mwakajoka
18.

Walio rumande
1. Freeman Mbowe
2. Esther Matiko
3. Susan Kiwanga
4. Peter Lijualikali

Waliokwisha fungwa

1. Joseph Mbilinyi
2. Peter Lijualikali

Waliopigwa risasi
1. Tundu Lissu

Aliye na idadi ya mafisadi waliofungwa aitaje then tujue anapambana na ufisadi au upinzani
Wapinzani ni wengi jela kuliko mafisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
17 Tanzanian opposition legislators ( 23% of all opposition bench in parliament) face various politically motivated offenses in courts. 2 were convicted with prison terms and 4 are in remand prisons including the leader of the opposition in parliament and 2 women popularly elected from constituencies. 2 escaped an assassination attempt with more than dozen bullets in his body.

MPs with cases in court

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Rt. Hon. Zitto Kabwe
3. Rt. Hon. Tundu Lissu
4. Rt. Hon. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Hon. Esther Matiko
6. Hon. Esther Bulaya
7. Hon. John Mnyika
8. Hon. Godbless Lema
9. Hon. John Heche
10. Hon. Cecil D Mwambe
11. Rt. Hon. Halima Mdee
12. Hon. Zubeda Sakuru
13. Hon. Rev. Peter Msigwa
14. Hon. Susan Kiwanga
15. Hon. Peter Lijualikali
16. Hon. Pascal Haonga
17. Hon. Frank MwakajokaI

In remand prisons

1. Rt. Hon. Freeman Mbowe
2. Hon. Esther Matiko
3. Hon. Susan Kiwanga
4. Hon. Peter Lijualikali

Served jail terms

1. Hon. Joseph Mbilinyi
2. Hon. Peter Lijualikali

Assassination attempt

1. Rt. Hon. Tundu Lissu

Chanzo:Ukurasa wake wa facebook

My take:
Kama kweli tuko kweye vita ya uchumi, rushwa, pamoja na kupambana na mafisadi,wanasiasa na watendaji waliosaini mikataba mibovu kama ile ya madini,n.k au walioshirikiana na mabeberu kupora rasilimali zetu kama wale waliotajwa kwenye ripoti za makinikia, wako katika jela au mahabusu gani?

Poleni sana wadanganyika!
Huyo ni mchochezi big way. Naona wanamsanifu wanamsare tu huku yeye anaendelea kuwachokoza ili akamatwe aweze kurejesha umashuhuri..ila wamemkazia hawataki kumshika.
 
Back
Top Bottom