Zitto atoa mwongozo wa kauli

no doubt they might have already been told not to go against their gov.
Very surplisingly mtu anasimama anasema anaunga pointi kwa 100 percent then anaendelea kuchangia
du anachangia nini tena wakati ameshakubaliana na hoja yote?
these guys they are nonsense and they might know nothing what they are doing
Kusema ukweli wabunge wa CCM wanaboa, the bad thing is that they support everything tabled without questioning. I wonder whether the power of party carcus has done it untold mandate of ensuring that MP's support the govt at any cost.
 
Mimi huwa nikiwaona hawa waeshimiwa natamani kungalia ze komedy kuliko hizo pumba zao. Kuna wakati natamani nimchape vibao huyo spika wao ana. yeye ndo kazidi kwa mizaha huko mjengoni. Kwa nini watu wasiache michezo ya kuigiza badala yake wawatendee haki Watanzania! Siku inakuja na sio ajabu hawa wasanii wote msiwaone 2015. Shime vijana saa ya ukombozi ni sasa. Vijana ni taifa la leo na wala sio kesho!
 
Nyalandu alijifanya kujua undani wa wananchi wa Tanzania katika kutumia simu zao za mikononi.
Yeye Leo anatumia Parliament Air Time kuVENT Salaam zake za VALENTINO kwa mkewe na watoto??? Ana Kichaa kweli huyu.

Simu za mikononi ni za kwetu vocha tunaweka wenyewe, hata hivyo Nyalandu katuingilia hadi Uani.

yeye bila aibu na mimeno yake kakenua anatumia Muda wa Bunge kusalimu kiajuza chake?????

Huyu jamaa kaamka Asubuhi nakumwambia Mkewe sikiliza Mipasho yangu na ukelele wangu leo, kutoka bungeni, mwenyewe utafurahi na LOHO yako kutakasika. Nitaonyesha jinsi ninavyo KULAVU mke wangu mpaka Majirani na wake za waTanzania wote wakome kuringa.

Ni Ushenzi kutumia Wakti wa Kitaifa kumtia mashamsham na machachandu mkeo Nyalandu ukome kama ulivyokama kunyonya ziwa la mamayako.

Huyu Nyalandu si ndiye alisema watanzania wengi wanatumia Simu kwa mawasiliona ya mambo ya mapenzi? Sasa yeye anatumia nafasi ya kujibu swali bungeni kutuma salama za mapenzi kwa mke wake. Ana matatizo huyu
 
Yaani mpaka miaka mitano iishe tutakuwa tumekoma mpaka tumekomaa!!!!!! Natamani tungekuwa na uthubutu kama wa Tunisia na Misri jamani, Leo tungewafuata huko huko mjengoni na kuwatoa wenda wazimu hawa. Yaani Faraja ndo anatumiwa salam za Valentine kwa kodi yetu pambaf...
 
sasa kama mtu alishinda kwa hila, baada ya kuuza unga yeye na mkewe uarabuni na wakatumia pesa iyo kuhonga na kuiba kura unadhani kwa nini asimtumie mshirika wake huyo happy valentine? utumbomtupu
 
Hii hutokana na mawaziri kukosa cha kuongea hivyo huamua kumaliza muda kwa maneno yasiyo faa.
Mke wake kalala nae, kaamuka nae, kaenda nae mjengoni, hajampa hizo salam za valentine mpaka apewe mike. Duu Tanzania
 
Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama yapo........ Hebu tuone Spika ata fanyaje

Ipo haja ya kutoa hoja binafsi kabisa kuliangalia hili kwa makini. kuna matatizo ya msingi hapa. kuna wakati Tanzania wote tulikuwa tunaitana "Ndugu". kuna Ndugu Rais, Ndugu Mbunge, Ndugu Waziri, Ndugu Wananchi, nk. hizo zilikuwa enzi za "Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja". Enzi za wananchi kumiliki uchumi wa nchi yao. Enzi ya "cheo ni dhamana". Katika utaratibu huu wa cheo ni dhamana, la msingi lilikuwa ni huduma kwa wananchi. sasa hivi hakuna dira, au niseme, dira ni kuchumia tumbo lako na kutumia nafasi uliyonayo kwa ajili yako na jamaa zako. ndio maana ni muhimu hata kutafuta vyeti vya kuchakachua, Udokta wa kuchakachua. muhimu sio huduma, muhimu ni mtu binafsi, kwa faida binafsi. hizi ni enzi za "Mheshimiwa Mbunge".

ukiangalia jamii yetu ilivyoporomoka kimaadili, utafika mahali utaona kwa nini leo wabunge wanapoteza muda mwingi kuongea nonsense, hata kufikia Waziri mzima anatuma salamu za Valentine kwa mkewe! ilitosha kabisa kuweka utaratibu wa kiprotokali unaoeleweka. ni dakika ngapi katika mkutano mzima kwa mwaka wa fedha, zinatumika kufanya mambo ya maana? inaweza kuwa chini ya asilimia 10! gharama yake? changanua dakika zote zinazopotea kwa mwaka mzima, zibadili kuwa siku halafu zidisha kwa posho ya kila siku kwa mbunge mmoja, mara idadi ya wabunge, utaona hayo mabilioni, bila kuongeza na wasted opportunities kwa hiyo wasted time. Na mali bila daftari...sio ajabu nchi yetu inazidi kuwa masikini kila kukicha.
 
Back
Top Bottom