Mkuu chama zitto tumpenda iwapo atajiheshimu mpaka wakati husika ndio aanze kuropoka Yale mambo yake ya urais muda huu ni kujenga chama
ww gamba acha kuingilia ya cdm...kwani uyaoni ya kwenye chama chenu magonjwa ya rusha yalivyokithirii...kemea kwanza kwa magamba wenzako, ndipo unyoshe kidole cdm...
Kwa formation hii ya 4-4-2 ikiongozwa na Kapteni Freeman nahakika katika viti hivyo 29 uwezekano wa CDM 21,CCM 6,CUF 2 ni mkubwa sana. Ni mtazamo tuu.Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zitto Kabwe jioni hii anatarajiwa kutikisa mji wa Bagamoyo katika kampeni za kumnadi mgombea udiwani wa CDM katika kata ya Magomeni.
Mgombea udiwani huyo wa CDM anaungwa mkono na wananchi na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda katika uchaguzi utakaofanyika jumapili wiki hii.
Wakati Zitto yuko Bagamoyo viongozi wakuu wa chama hicho wamejichimbia maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha CDM inapata ushindi mkubwa katika kata 29 zitakazofanya uchaguzi.Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kwa wiki nzima yuko mikoa ya kusini huku Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia Kanda ya ziwa kwa wiki mbili sasa.
Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema akisaidiwa na Kamanda Henry Kilewo yuko Kanda ya Kaskazini huku Mkurugenzi wa Mafunzo na operesheni Benson Kigaila akipambana Kanda ya Kati.
Makamanda wengine walioko mstari wa mbele wa mapambano ni Alphonce Mawaazo na Ally Bananga wakipigania Kata za Mkoa wa Morogoro.
Umempa jibu zuri sana Kamanda.
Mbona umekuwa mkali? Nimeuliza tu kulikoni Molemo ni mtu wa kumpiga madongo Zitto nimeshangaa sana na mapenzi mapya ndio sababu nimeuliza.
Chama
Gongo la mboto DSM
mkuu Molemo pamoja sanaaaaaa...i do believe in people power, cdm ndyo mkomboz wa wananchi kwa sasa...hawa wengine majambazi wa kalamu na wenye kutanguliza maslai yao binafsi nadhani 2015 kimenuka...
Mbunge wa kigoma kaskazini CHADEMA zito kabwe amefunika bagamoyo Mpaka wazee wa pwani wamemuombea dua malumu mtu yeyote atakaye fikiria kumuhujumu kwa makusudi au kwa bahati mbaya mwenyezi mungu amshugurikie mtu huyo.pia ameruhusiwa agombee cheo chochote ktk nchi hii wazee wapo nyuma yake wame mwambia asiwe na hofu yoyote tutakurinda pambana kijana tupo nyuma yako tupo pamoja.haya yametokea baada ya zito kufanya mkutano mkubwa sana Bagamoyo wa kumnadi mgombea wa kata ya magomeni ndugu.SETEBE TIMIZA SETEBE.chadema inanafasi nzuri ya kuinyakua kata ya magomeni. Pamoja na zito kabwe pia alikuwepo katbu wa chadema jimbo la ubungo mhe.ALLY SAIDI MAKWILO. ambeye amepiga kambi ktk kata hiyo kuhakikisha chadema ina shinda udiwani.
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!
Hapa sidhani kama akil imefanya kazi hapa.Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!