Zitto atikisa Bagamoyo leo

Mkuu Molemo;
Kulikoni leo umempamba Zitto kiasi hiki? Bado siamini macho narudia kuisoma sipati majibu; Zitto huyu huyu unayempiga madongo leo kageuka mwema kwako!Haya usiache kutujuza kilichoendelea kwenye mkutano.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Chama.
Najua una ajenda ya siri lakini haitafanikiwa.
Kwa kifupi tu nikuambie kwamba mkutano umefanikiwa sana.Na nikuhakikishie Kamanda Zitto amekinukisha ile mbaya kiasi kwamba ni bora CCM ijitoe kabla ya uchaguzi vinginevyo itaaibika.
 
Mkuu Molemo, maneno yako yanaweza kumtoa nyoka pangoni, nilikuwa nasoma post za wachangiaji, lakini kwa post hii, nimefarijika sana kiasi naona ni bora nikupe analog "LIKE"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo, maneno yako yanaweza kumtoa nyoka pangoni, nilikuwa nasoma post za wachangiaji, lakini kwa post hii, nimefarijika sana kiasi naona ni bora nikupe analog "LIKE"

Nakushukuru sana Kamanda.Mambo yote ni kwenye uchaguzi siku ya Jumapili ni lazima Mungu atukuzwe kwani vita ya kupigania haki ni ya Mungu mwenyewe na si binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo;
Kulikoni leo umempamba Zitto kiasi hiki? Bado siamini macho narudia kuisoma sipati majibu; Zitto huyu huyu unayempiga madongo leo kageuka mwema kwako!Haya usiache kutujuza kilichoendelea kwenye mkutano.

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama zitto tumpenda iwapo atajiheshimu mpaka wakati husika ndio aanze kuropoka Yale mambo yake ya urais muda huu ni kujenga chama
 
Last edited by a moderator:
Chama makini siku zote kinajua kinachofanya, hongera sana ZZK jenga chama sambaratisha ngome zao zote. Tujenge chama chini juu halafu 2015 tutahesabu faida.
 
Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zitto Kabwe jioni hii anatarajiwa kutikisa mji wa Bagamoyo katika kampeni za kumnadi mgombea udiwani wa CDM katika kata ya Magomeni.

Mgombea udiwani huyo wa CDM anaungwa mkono na wananchi na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda katika uchaguzi utakaofanyika jumapili wiki hii.

Wakati Zitto yuko Bagamoyo viongozi wakuu wa chama hicho wamejichimbia maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha CDM inapata ushindi mkubwa katika kata 29 zitakazofanya uchaguzi.Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kwa wiki nzima yuko mikoa ya kusini huku Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia Kanda ya ziwa kwa wiki mbili sasa.

Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema akisaidiwa na Kamanda Henry Kilewo yuko Kanda ya Kaskazini huku Mkurugenzi wa Mafunzo na operesheni Benson Kigaila akipambana Kanda ya Kati.

Makamanda wengine walioko mstari wa mbele wa mapambano ni Alphonce Mawaazo na Ally Bananga wakipigania Kata za Mkoa wa Morogoro.
hivi nikisema "juma anakula" nakuwa nimemsifia au? akiliyako iko kwenye kusifia na kulaani. hiyo ni akili hafifu kabisa.
 
Molemo Leo anamsifu ZZK maajabu!
Anyway,hizi ndo siasa tunazotaka sio za majungu na fitna! Kila la kheri ZZK na Viongozi wengine(hata na wale ambao hawana majina) katika kuhakikisha ushindi kwa chama.
hivi nikisema "juma anakula" nakuwa nimemsifia au? akili yako imejikita kwenye kusifia na kulaani! hiyo ni akili ndogo kabisa.
 
Mkuu Molemo;
Kulikoni leo umempamba Zitto kiasi hiki? Bado siamini macho narudia kuisoma sipati majibu; Zitto huyu huyu unayempiga madongo leo kageuka mwema kwako!Haya usiache kutujuza kilichoendelea kwenye mkutano.

Chama
Gongo la mboto DSM

ww gamba acha kuingilia ya cdm...kwani uyaoni ya kwenye chama chenu magonjwa ya rusha yalivyokithirii...kemea kwanza kwa magamba wenzako, ndipo unyoshe kidole cdm...
 
Uamsho, Issa Ponda na Mulugo wametupumzisha na habari za Zitto, maana duh! Ilikuwa kila kukicha.
 
Back
Top Bottom