- Thread starter
- #21
Asante kwa taarifa, nawatakia ushindi wa kishindo katika hizo kata 29.
Tunakushukuru sana Kamanda.
Asante kwa taarifa, nawatakia ushindi wa kishindo katika hizo kata 29.
Hakuna shida tena huyu wetu!!Asije akasaidia kuipa CCM kura,haaminiki.
Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kwa wiki nzima yuko mikoa ya kusini huku Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia Kanda ya ziwa kwa wiki mbili sasa
Inanikumbusha enzi zileee katika chaguzi za CCM! Treni toka kanda ya ziwa ilikuwa ikishangiliwa sana pale Dodoma wakati innafika na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM. ilikuwa ikiitwa treni ya ushinda kwa kuwa wapiga kura wengi wanatoka kanda ya Ziwa. Ukijikita kanda ya Ziwa unakuwa na uwezekano wa kushinda kuliko kujikita kanda ya Kusini!
Wewe siunatukana waislamu bwana nimekusoma endeleza matusi yako nakwambia
Mkuu Molemo hii thread ni ya kidini? Mbona huyu jamaa anatuchafulia thread? Namshauri aende jukwaa husikaWewe siunatukana waislamu bwana nimekusoma endeleza matusi yako nakwambia
Yeah kikubwa zitto jenga chama urais unakuja wenyewe usiukimbilie
ZZK ameenda ukweni!maana nasikia anataka kuchumbia kwa JK;
Ahsante malemo kwa info.Tunawatakia kila la heri CDM ili wanyakue kata zote 29 kuonyesha ishara wazi ya neema kwa 2015.