We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition
Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote
sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter
"We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"
Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi
nina mashaka kuwa kile alichoandika zitto hujakielewa. Si unajua mambo ya lugha za watu tena. Huyu kijana zitto ni mzandiki mkubwa, huyu ndo tatizo hapo chadema
Mmeanza kumuandama Zitto wa watu kwa makosa yenu.We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter "We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition" Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi
Matusi hayasaidii kubadili matokeo Igunga, CDM tumieni akiri na uelewa, mambo huwa hayaendi mtakavyo nyny yanaenda kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria. kama umeshindwa umeshindwa tu, jipangeni huu sio mwsho wa uchaguzi kubalini matokeo hakuna namna nyngne.
Kushindwa kwa CHADEMA ni aibu kwa magazeti kama MTANZANIA, TANZANIA DAIMA na lile la Kenya la MWANANCHI.
Lakini Zitto huyo huyo amneendelea kusema akimwambia J. Makamba:- You lost an election. Don't give excuses. Look within your party. You can't win through thuggery, militarism and grievance. Duh!Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.
Follow the link: Twitter