Hivi zito ni mbunge wa wapi na mwanachama wa chama gani?
sio kila amwitae bwana bwana nae ni mkristo,,,, so hakuna mkristo mwenye sera za kishetan kama watajwa hapo juu..hivyo basi kwa alichokisema zitto kwa hao mawazir hata mbingu zinakishuhudia kuwa ni kweli
Huyu mkimbizi naye mnafiki tu mi sioni anachozungumza ni comedy tu sasa hana cha maana hata kimoja.
Mkuu wewe na wehu wa barabarani unatofauti gani nao?
Hongera ZZK na huo ndo ukweli halisi japo hao mawaziri wanawashirika wao, kuna mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa mambo ya ndani, naibu spika,na wengine wengi
Hasa hasa huyu Wasira.analeta mambo ya mwaka 47.
Hasa hasa huyu Wasira.analeta mambo ya mwaka 47.
message sent to all concervative followers.
Cc ze marcopolo,le mutuz,mwana diwani,chama,chris lukosi,pasco etc.
Vipi shukuru kawambwa?
Sometimes inaniwia vigumu sana kumuamini zitto, hasa anavyojitahidi kubana watu wenyemrengo tofaut na yeye.
Ningeshangaa sana kama Lukuvi na Wasira wasingekuwepo kwenye Orodha, pia hapo kwenye Orodha amekosekana Fredrick Warema huyu naye hataki kabisa tupate katiba iliyo bora.