Zitto ataiua ACT-Wazalendo

Zitto anataka hela tu , haijalishi zinatoka wapi .
 
Hivyo ni vile vile vyama pandikizi vya ccm wanavyotumia kuhadaa ulimwengu ionekane kwamba Tanzania kuna vyama vingi.
 
sasa wewe inakuhusu nini kama sio kuwashwa
 
umenena vema hawa keyboard warriors ni wakupuuzwa
 
 


"One destination but several ways to reach it"

Tuheshimu fikra, maoni na mtazamo wa wengine, sio kila inachofikiri CHADEMA ndicho kifuatwe na Vyama vingine, no compulsion in the matters of political perspectives as Chadema is not a political yardstick and comparator party.
 
Sio lazima vyama vishike njia moja kuelekea Katika kupata katiba mpya, na sio lazima katiba iundwe upya kwa wakati huu bali inaweza kufanyiwa marekebisho muhimu tu.
Sidhani hapo hatuwezi kufanana
 
Unaposema kwa gharama yoyote wewe uliishaingia gharama gani?

Je uliwahi kuvunjwa hata mguu na ukaijua gharama ya vurugu?

Au unajua tu kuwapa wenzio mihemko kisha unasepa kwa style ya Lissu na Lema.
 
Unaposema kwa gharama yoyote wewe uliishaingia gharama gani?

Je uliwahi kuvunjwa hata mguu na ukaijua gharama ya vurugu?

Au unajua tu kuwapa wenzio mihemko kisha unasepa kwa style ya Lissu na Lema.


πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Mkuu jalibu kutumia kichwa chako kufikili vizuri

ACT haima nguvu Wala wanachama,Bali inawafuasi wa Maalimu,hao wafuasi wakiamua kujiunga/ kuanzisha chama kingine watabaki na wanachama gani?
 
Licha ya maelezo mareeefu wewe wala huna uelewa sahihi kuhusu katiba. ..huelewi katiba ni nini na sheria ni nini.πŸ˜‚
 
Zitto ni mzee wa kunusa fursa - Wazanzibar wakae naye kwa akili sana.
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Akigombana nao wanao uwezo wa kumfukuza uanachama, kwa hiyo si rahisi akakiua chama. Kumbuka kuwa pamoja na kwamba alikianzisha yeye na pia ni kiongozi mkuu wa chama, bado pia anazo haki zake za kawaida kama zile za wanachama wengine wa kawaida na mojawapo ya haki hizo ni kufukuzwa uanachama
 
Zitto lengo lake NECCCM impe viti vichache vya ubunge aongoze kamati. ACT haina tofauti na TLP kwa sasa
Bora!
Inalipa mara 100 zaidi kuwa na chama cha upinzani ambacho hakina mgogoro na chama tawala, kuliko kuwa na chama cha upinzani chenye mgogoro na chama tawala. Chama cha upinzani kisichokuwa na mgogoro na chama tawala, ni CHAMA MBADALA, wakati kile chenye mgogoro na chama tawala, ni CHAMA FANYA FUJO na mara nyingi hivi ndiyo huwa vinatumika kama mlango wa maadui wa ndani na nje ya nchi
Falsafa ya sasa ya namna chama cha ACT kinavyoendelea, inaweza kututoa na itauimarisha zaidi Muungano. Nampongeza sana Mh. Zitto kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…