Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
Nani aliyekueleza kuwa ZZK anatafuta kuingoza CDM.?
Mahakamani ameenda kufanya nn?
Nani aliyekueleza kuwa ZZK anatafuta kuingoza CDM.?
Mwanakijiji
Kila mara unaongelea nidhamu nidhamu, hivi nidhamu wewe unayoiona ni yakutofautiana kimawazo wanasiasa tu? Hivi kwa mwanyekiti kutembea na mbunge wa kuteuliwa ni nidhamu ama rushwa ya ngono?
Wenda Zitto anapingana na watovu wa nidhamu wa rushwa za ngono, na watovu wanidhamu wasio na nidhamu kwenye fedha za chama. Kwanini hao wasio nanidhamu kwenye fedha na wapokea rushwa ya ngono, huwashauri wajitoe kwenye chama?
Wewe toa uongo wako hapa,Zitto alishasema hajawahi kukutana na wewe,hiyo gari uliipandia wapi?kanywe gongo huko si mmehalalisha?
ben saanane unatuchanganya mbona zzk alisema hajawahi onana nawewe? Wanasiasa sijui mkoje.
ben saanane unatuchanganya mbona zzk alisema hajawahi onana nawewe? Wanasiasa sijui mkoje.
Nani aliyekueleza kuwa ZZK anatafuta kuingoza CDM.?
teh teh,kama ni hivo ndani ya ccm ni wote wako hivo!Mwanakijiji
Kila mara unaongelea nidhamu nidhamu, hivi nidhamu wewe unayoiona ni yakutofautiana kimawazo wanasiasa tu? Hivi kwa mwanyekiti kutembea na mbunge wa kuteuliwa ni nidhamu ama rushwa ya ngono?
Wenda Zitto anapingana na watovu wa nidhamu wa rushwa za ngono, na watovu wanidhamu wasio na nidhamu kwenye fedha za chama. Kwanini hao wasio nanidhamu kwenye fedha na wapokea rushwa ya ngono, huwashauri wajitoe kwenye chama?
Cdm imuache awe mwanachama bila kumpatia uongozi wa aina yeyote ndani ya chama
mkuu, usiwaamini wanasiasa by zitto!Wewe toa uongo wako hapa,Zitto alishasema hajawahi kukutana na wewe,hiyo gari uliipandia wapi?kanywe gongo huko si mmehalalisha?
Sasa zito anataka nn mbona anakuwa kama msukule?
What a great analysis!
Mzee Mwanakijiji,
Insurbodination huondoa trust katika leadership
Nakumbuka tarehe 22/1/2011 tukiwa na Mhe.Zitto ndani ya Gari yake mimi Mchange na Emmanuel Mwakajila tulijadili kuhusu matokeo ya urais 2010 na yeye kudai kuwa uchakachuaji uliofanyika ulistahili kweli mass action kutokana na sapoti kubwa ya vijana waliojitokeza kwenye Kongamano tuliloshiriki pale uwanja wa Makuburi
Nilimwambia ni kweli tungeamua kuwa radical kabisa tungeweza kuunda parallel government
Aliniunga mkono na kutoa maoni yake tulipofika pale External Ubungo kupita service road na kudai kuwa wanaoongoza msafara tena wamekosea sana kumpitisha Rais ambaye hakutangazwa upande huu maana ni hatari sana.Zitto anaweza kuja kuthibitisha hili
Sasa mentality hizi za parallel leadership ndizo zinazowa-drive
Katiba ya chama itasimama juu ya maslahi binafsi .
Leo rangi halisi zimezidi kujidhihirisha zenyewe