Zitto asema hatahama Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto asema hatahama Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurudumu, Dec 23, 2010.

 1. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwamba hawezi hata kufikiria kuihama Chadema. Labda kuna watu wanataka ahame, lakini yeye hawezi kurudia makosa waliyotenda waliomtangulia

  source: tbc1 radio, saa 2 usiku huu

  my take, kwamba wanasiasa wa upinzani wa kigoma ni maarufu wa kuhama vyama na zitto anasutwa na hili hivyo hataki kuwa Kama waliomtangulia
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zitto aende tu
   
 3. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Wacha akae ila atolewe uongozi wa unaibu upinzani bungeni
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kumbe waliomtangulia walifanya makosa kuhama CHADEMA.
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Usihame mwaya,tulia tujenge CHADEMA yetu.Cha muhimu jitahidi kuwa mbali na media na uheshimu maamuzi ya chama hata kama ni kinyume na misimamo yako.
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani Kaburu yuko wapi? Kafulila kakimbilia chama kisicho na rizki
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anataka afe nacho..embu punguza kuongea ongea mbona itakuwa nafuu..(too much talk) au ndio maana ya siasa?
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa waandishi ambao huandamana na zitto hadi kigoma nani huwagharamia? Mbona huwa haendi kwa wanasiasa wengine tena ambako kunafikika kirahisi?
   
 9. B

  BARKMEI Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ZITTO wewe ni mamluki tu na umeona hatma yako kisiasa ina kwenda kombo baada ya wanaJF kukuchambua vilivyo. Kama umeamua kurudi kundini ni vyema ila tunakutaka ujisafishe na kauli zako za kuchefua wana CHADEMA wabunge na viongozi wenzako. Na kama umejirudi ili upange mikakati yako ya kugombea urais 2015 sahau tumeshakushtukia na huna mvuto kwa wapambanaji wa kweli labda kwa mkwere na mafisadi waliokufadhili. Tunakufuatilia nyendo zako bunge la 10 na utajinyonga kwa kamba yako mwenyewe. pipooooo!!!! pa wa
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu shusha sauti yako kidogo, hata hivyo huyu dogo huwa hana kawaida ya kujifunza na kujirekebisha. Haijawahi kutokea katika maisha yake. Usimwone anakujia meno nje usidhani anakuchekea, bali ameandaa meno kutafuna hiyo pua yako.
   
 11. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  zito kabwe mm nakuchukulia kuwa uko chadema kimaslahi na nccr kimkakati .haya yote unabwabwaja ili cdm wasivue nyadhifa zilizobaki
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwani ZK siku hiz anahojiwagwa na tbc tu?
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  Zitto akitaka VIJANA wenzake tukamuamini tena basi afanye mambo yafwatayo:

  (1) Pigania KATIBA MPYA ukiwa Mstari wa mbele kabisa na kushinda vita dhidi ya mambo yenye uwezekano mkubwa wa kutugawa zaidi kama taifa ikiwemo maswala yote ya UDINI.

  (2) Shiriki kikamilifu kakita kuleta viti vyote vya ubunge mkoa wa Kigoma kuja CHADEMA.

  (3) Soma vitabu vinavyozungumzia DHANA ZIMA ya TEAMWORK; namna ya kushiriki na kuendana nayo wakati wote.

  (4) Japo ni swala binafsi (lakini kwa ushauri) tafuta wako wa ndani atakayelinda YOUR APPARENT EMOTIONAL WEAKNESSES.

  (5) Jiwekee nidhamu ya kutozungumza SIASA hasa zinazohusu vikao vya chama katika vyombo vya habari isipokua tu ufanye hivyo kama wenzio wote kupitia OFISI RASMI YA MKURUGENZI WA HABARI NA MAHUSIANO WA CHADEMA kama ambavyo tulivyogundua ya kwamba tayari mmefanyia mabadiliko utaratibu wenu wa kimawasiliano kama taasisi.

  (6) Jifunze KUJIWEKA KATIKA VYATU VYA WATU WENGINE kila unapotaka kusema / tenda jambo.

  Ni hayo tu kwa leo.
   
 14. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu, suppose zitto anachumbia dada yako mkuu, kwa njema tu ya kutekeleza ushauri wako. Je, utamsaidia utamsaidia kutimiza azma yake ili kutekeleza ushauri wako?
   
 15. D

  Deo JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani hiyo siyo kweli. Tambua hulka yako. Ulitamani kugombea majimbo mangapi vile? Je Majimbo hayo yako umbali gani? Uliona wewe tu ndiye unayefaa? Hivi sasa unatumikia CCM unalala CDM unatamani na kuota NCCR. Kweli huwezi kuhama kwa vile mission not completed au vipi? nani marafiki na associate wako? Sindio mafisadi wenyewe! Media zipi unazokimbilia? Si ni anti CDM.
  Tafadhali uwe mkweli usiwape watu kazi ngumu ya kufikiri
   
 16. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I believe in u Zitto!! @least sanity has prevailed..
   
 17. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aende wapi? mtaji aliowekeza CHADEMA amwachie nani?
   
 18. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nadhani ni kinyume chake. Chadema ni mtaji wa zitto ndo maana amekuwa Kama mwanamke golikipa ambaye mumewe anamfukuza lakini yeye anang'ang'ania. Akitoka Chadema pesa za mafisadi atazikosa, za ukuwadi
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kumbe anasema kweli!! Lakini si umemsikia hivyo?? Mtabanana humohumo!
   
 20. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mh. Zitto tunaheshimiana sana, lakini ulipoanza porojo zako ulikuwa bado hujagundua kuwa umepotea njia. Kama kweli hayo matamshi yametoka rohoni mwako....basi huna budi KUHESHIMU matakwa ya wengi na MAAMUZI ya chama chako. Wabunge toka chama chako tayari wameshakupigia kura ya kutokuwa na imani nawe. Kwa busara, ningekushauri hiyo (hizo) nafasi uwaachie wengine maana tayari wameona hufai kuwaongoza. Huwezi kumuongoza mtu asiyekutaka unless utumie UBABE, sasa sijui ni vipi CHADEMA ubabe utakubalika.
   
Loading...