Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 149
I have a lot of respect for Brother Zitto, and he is definitely the future leaders of our Glorious Nation. However i sometimes feel that he needs to know the limits of seeking popularity, in this case its often common for politicians to engage or invite third parties ( newspapers, TV or Radio stations) to do a program on the particulate person who wants to share his/her achievements with the public at large.
My advise is that sometimes its detrimental for a politician to blow his own trumpet, the music is more mellow when the trumpet is blown by professional.
SUGU hana muda mchafu wa kusoma vitabu, yeye na GANJA, ganja na yeye.
Zitto anajipambanua kama ni msomi anayependa kujua mambo mapya. Nimeshangaa kuona kitabu cha "The hard choice" cha Hillary Clinton. Nakitafuta sana hicho kitabu. Nimeambiwa katika kitabu hicho yeye akiwa waziri wa mambo ya nje walishiriki kuanzisha kikundi cha Islamic state kinachoendesha mauaji huko Syria na Iraq.
Ukitaka kujua watanzania tuna unafiki hadi katika kusoma ndio hii habari..
Yeye ndiyo kasoma, yeye ndiye amefaidika, yeye ndiye aliyeamia bila kulazimishwa na mtu, bila kushurutishwa...
Sasa anapiga picha ili iwaje...
Ndii maana napata mashaka na wasomi wa nchi hii.. kuwa wanasoma ili tujue ni wasomi au wanasoma ili tuwaone wanasoma...
#nyashi
Lakin sina budi kukupongeza kwa kuwa na tamaduni ya kujisomea...
Safi sana Mzitto
Mwenye/ungekuwa na mawazo chanya ungeanza kuappreciate kabla ya kublame na kutoa ushauri na ndio maana nikakuambia una wivu.
Ukitaka kujua watanzania tuna unafiki hadi katika kusoma ndio hii habari..
Yeye ndiyo kasoma, yeye ndiye amefaidika, yeye ndiye aliyeamia bila kulazimishwa na mtu, bila kushurutishwa...
Sasa anapiga picha ili iwaje...
Ndii maana napata mashaka na wasomi wa nchi hii.. kuwa wanasoma ili tujue ni wasomi au wanasoma ili tuwaone wanasoma...
#nyashi
Lakin sina budi kukupongeza kwa kuwa na tamaduni ya kujisomea...
Safi sana Mzitto
Eti vitabu anavyosoma.... So what??????!!!!!!
Hakuna kitu debe tupu haliachi kutika. Kwani kusoma vitabu na issue. Apeleke huko u bisho wake.
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
... Kwani nani ambaye hasomi vitabu? Mwishowe mtatuonyesha hata choo anachokatia gogo
Sijaona hata kimoja chenye maana. Vyote ni history.Angejisomea tu " The Secrte"The master Key System nungemwelewa.Otherwise anakopi na kupaste mafanikio na makosa wengine Ulayani, Asia na Uislam
SUGU hana muda mchafu wa kusoma vitabu, yeye na GANJA, ganja na yeye.
Kwa jinsi hiyo mnavyo msifia mme wenu hata akionyesha choo anachotumia kunyea mtatuletea hapa ili tujadili jf
Kweli unaweza kumtoa muha shamba lakini huwezi kumtoa ushamba kichwani mwake, nani msomi wa kisasa bado anarundika vitabu ndani wakati unaweza kutumia itune au amazon kindle kununua na kudownload vitabu vyote hivyo ukasoma kwenye ipad, laptop, smartphone.
Hawa wanaosoma vitabu vingi ndo wanatuharibia nchi
ndio maana zitto ana akili sana! nina uhakika zitto ni mbunge mwenye uelewa mkubwa kuliko wabunge wote,
Haha! Ngoja na mimi nikisome naweza pata trip za UjerumaniKwa chadema hicho kitabu cha Development in Germany Politics nadhani ndicho wanachokitumia zaidi kuliko vingine vyote.Wanakisoma kukikariri na kukitumia.Ndio maana hawaishi trip za Ujerumani.