EEH!
politiksi ngumu sana
Zitto msanii tu
Inaweza kuwa nguma sana hasa ukimaanisha lakini wanapolitiki wa bongo hawamaanishi ndo maana kwao
ni kama wanariia! ila kwawale wenyekumaanisha wanajuta kwanini wameingia ktk politiki!
kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO
Zitto msanii tu
To be honest , Zito kusema nakipenda Chadema na hatahama, na pia kusema kuhusu Kafulila Chadema walikosea, this only place him far above many politicians. Huwa anasema anachoamini, na hapa kueleweka pia kunakuwa kazi sana
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......
Ni vema kusikia kutoka kinywani mwa farasi mwenyewe kuliko kuamini maneno ya mtu wa pili. Magazeti yameripotio sana juu ya sakata la Zito na Chadema, mengine kwa hila ili kumporomosha Zito au Chadema ama wa kwa kuhongwa na wanaompinga Zito ndani na nje ya Chadema. Kwa bahati mbaya ahata viongozi wenzake wa Chadema waliingizwa kwenye mtego wa vyombo vya habari na kuanza kumshutumu Zito na pengine hgilo lilisababishwa na ukimya wa Zito mwenyewe.
Kwa maoni yangu ni afadhali kuyachukua na kukubali yale yaliyosemwa na Zito mwenyewe live kupitia Redioni badla ya magazetini.
PEACE!
Badala ya kuuliza you can always skip hadithi za Zitto .Mambo 3 ya Nchi hii kumbe hujayaona hata ukielezwa huwezi kuelewa give this boy break .Kama hutaki kumsikia skip , Zitto haabudiwi ila Zitto ni chachu ya mageuzi Tanzania kama kijana .Ni jambo kubwa ambalo wewe umeshinswa jata kutumia nickname kweney JF ila Zitto ka sacrifice maisha yake kwa umri ule mbele ya CCM . Unaona akina Prof Baregu na Lamwai yaliyo wakuta ? Leo unauliuza swali kama hili kwa Zitto ? Nasema Zitto hakuna kurudi nyuma endelea na msimamo wa kuisaidia Tanzania kwa kadiri unavyo weza na Chadema yako .
i wish ningejua jambo moja zuri la zitto
Kama mfumo wote wa vyama vya upinzani ungekuwa na mtazamo kama wa Zitto, hata mimi ningejiunga na Chama cha Upinzani. Hiki kichwa ni kizuri. Hahangaikii ushindi wa CHADEMA pekee, anahangaikia ushindi wa upinzani, ambao iwapo watakuwa wengi bungeni, watakuwa ni mwiba kwa CCM. Na huu uhuni ambao CCM inawafanyia wananchi utapungua.
Zitto is a true model, I like this guy. Siyo wapinzani wengine ukiwaambia waungane wanang'aka kama nini? Hao wakiingia madarakani hawatatofautiana na CCM. Tuwapige vita watu wasiopenda umoja wa upinzani Tanzania. Binafsi nitajiunga na upinzani iwapo tu nitaona wamekubali kuungana. lakini kwa kelele hizi zisizo na mpangilio, bora tu kubaki CCM.
1. Alithubutu kugombea uenyekiti chadema
2. alikuwa kwenye kamati ya JK ya kuangalia madini (sijui ilikuwa ni yangapi hii na sijui ripoti zake huwa ziko wapi)
3. Anamsapoti kafulila Kugombea ubunge Kigoma kusini kwa tiketi ya NCCR Mageuzi (Zitto ni CHADEMA)
4. Aliwahi kuwa kiongozi DARUSO
5. Ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma (aliwahi kupendekeza kuwa tununue mitambo ya Dowans ili kusiwe na mgawo. Ugumu wa mioyo yetu tu hatimaye mgawo kweli ukawepo)
Mpwa huna macho tu ukaona? Mengine wataendelea....
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......