Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Hope kwa uwezo wa Mungu atafika mbali zaidi. Kama kutakuwa na alipokosea atakuwa mwepesi kujirekebisha. Ni vizuri tukatakiana heri badala shari hata kama ni kwa dua ya kuku.
 
Sio tu anataka kusaliti CHADEMA anakisaliti chama makini kwani usalama wa ccm una mbinu nyingi chafu na unamtumia ipasavyo, nmeshawahi dokezwa kwamba usalama wa ccm hawata kubali atoke CHADEMA kwa kuwa ndo informer wao. Huyu ni mtu wa kumwangalia kwa makini na kumwogopa sana kwani tayari ni tatizo mbali na yeye kutumia mbinu na kauli mbalimbali kuhadaa wananchi kupitia waandishi wa habari katika kujilinda na kashfa hii. Yuko CHADEMA kama mamluki akitumiwa na usalama wa ccm.
 
Mimi binafsi napinga Zitto Kabwe kwamba atagombea Kinondoni kushindana na yule Zungu,kwa sababu yule Zungu alikuwa anasoma Tambaza,na mimi nilikuwa nasoma Tambaza.
Unamjua Zungu kweli???
 
kama kawaida nareport kutoka kwenye gazeti letu kuhusu zitto


Mbunge Zitto hajaanza leo jiulize haya maswali

Kwanni alipingana na mwenyekiti wake mbowe kugombea uwenyekiti?

Kwanini alijihusisha saaana na mambo ya dowans miaka ya 2009?

Kwanini anakuwa na kauliza za kukinzana na chamu chake?

kwanini hakukubaliana na wabunge wake kutoka bungeni?

kwani mapaka sasa hajachiriki maandamano yoyote? ARUSHA KAYATOSA? MWANZA KAYATOSA, SHINYANGA KAYATOSA, KAGERA KAYAKIMBIA

je usaliti wa zitto umeanza zamani?:llama::llama::target::target::target:
 
Zitto si mpinzani anakula taiming kupata njia ya kuibomoa Chadema. Ni sawa na Mbatia na watu wa system.
 
Zitto si mpinzani anakula taiming kupata njia ya kuibomoa Chadema. Ni sawa na Mbatia na watu wa system.

Kutokana na yale mazungumzo yake na Rostam kwa njia ya simu, nina wasiwasi sana Zitto atakuwa pandikizi la CCM ambalo linalipwa vizuri sana. Nina washukuru sana gazeti la MwanaHALISI kwa kutuamsha usingizini kuhusiana na Zitto. Zito aende akatekeleze ndoto zake akafundishe Chuo kama alivyodai. Mungu nisaidie moyo wangu upunguze hasira nilizonazo dhidi ya huyu mtu na unafiki wake.
 

Unatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Zitto?...Namshauri Zitto asikujibu. Kajiulize kwa nini Makamba hajaropoka siku nyingi umsaidie na rais wako atatutue kero zinazowakabili raia.
 
Amewahi kutetea kununuliwa kwa mitambo ya DOWANS kwa gelesha ili deal lipite. Hafai. Ata kampeni zilizopita za CDM hakuwa na umakini wa kumtetea Dr. wa ukweli, Slaa. lkn nieleweke kuwa simpondi Zitto kwa manufaa ya CCM ila kwa manufaa ya taifa letu. Zote hizo ni mbinu za CCM kuhakikisha wanatuhujumu kwa kila namna.
 
Mhhh Zitto akafundishe chuo gani?ana uwezo huo?GPA yake ni 2.8..labda afundishe chuo kikuu cha RA au cha EL ndo watamchukua awe mwalimu wao otherwise ana ufahamu mdogo sana!!huoni hata uko ujerumani kasoma vyuo vidogo vidogo hata jina sikumbuki kwa jinsi tulivyo tudogo....
 
Wewe Jeykey i think your war against Zitto is personal!!!maana sioni siasa in ur arguments,u just want to ruin him (which u can't because u dont really matter)get over urself kwani msaliti Tanzania hii ni Zitto peke yake?kama viongozi wa chama wanamuamini who are you to doubt him?there are lots of issues u should be worried about in ur country and m sorry to say Zitto isn't in the list so leave him alone and mind ur own miserable business...!!!
 
Dhambi za ubaguzi ndio zanazoendelea Chadema.
Sasa Padre akipewa nchi itakuwaje?
 
Zitto ameandika makala nzuri sana jana na leo kwenye gazeti la Mwananchi akihimiza NSSF iinunue KIWIRA. Kama kuna mtu anaweza kuzi-scan na kuzibandika humu atusaidie. Ni vizuri tukazichambua na kuzijadili kitaifa.
 
JeyKey wee wa kike au kiume???!
Mi naona kama uko obsessed na Zitto vile?
? Unataka akupe nini ili uelewe ndugu yangu?
Maana kila siku Zito zito zito wakati unajua fika CHADEMA ni taasisi... Mohamed Arfi yupo, Tundu Lisssu je?, Ndesamburo je? acha unafiki wa kike ww... Labda kama wee wa kike niombe Zitto akutokee lazma utakubali tuu ww kwani hutaki hela??

Badae
 
Zitto amechangia sana kukua kwa upinzani. Sio wa kumbeza na kuwa upinzani haina maana kukubaliana kila kitu. Yeye ni binadamu na kkutofautiana ni jambo la kawaida. Endelea kuuguza mama yako Kabwe na tunamwombea apone haraka
 
Crap,umeanza siku uliyo acha kuchamba
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…