Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,247
Kisiasa Zitto ameshaingia kwenye njia wanayotumia wenzake kusafiri kuelekea uzeeni. Zitto wa ACT siyo yule wa CHADEMA.
Mwanzo alipoamua kuanzisha mapambano na CHadema akiongozana na Kitila Mkumbo nilidhani ameonewa kumbe alikuwa kwenye harakati zakubomoa chama kwa malengo ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
Leo mara paap waliomtuma wamemtelekeza akiwa tayari amefungwa mdomo. Naamini hakuwahi kuwaza kuishia pabaya kisiasa mapema hivi. He is still too young to retire
Contrary alichobaki nacho nikupewa uteuzi ambapo naamini atastaafu siasa akiwa japo waziri ndani ya serikali ya CCM kama walivyowahi kuzawadiwa wenzake.
Vijana tujifunze kujitegemea kifikra