Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,293
- 8,847
Una tutisha au una mtisha??? Zitto usitupe wasiwasi sisi watanzania wenzio...! Hofu hatuja zoea...! sisi tumezoea kuambiwa maendeleo ya miradi kama SGR, japo stigila siisikii sana... liganga na mchuchuma... mbowe kizuizini... haya ya jumapili na magwanda tumezoea kidogo ktk korosho na forex huko arusha...