Zitto ana tuvuruga na picha ya Membe Ughaibuni

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,260
8,781
Screenshot_2018-12-02-18-37-53.png
Screenshot_2018-12-02-18-37-53.png

Una tutisha au una mtisha??? Zitto usitupe wasiwasi sisi watanzania wenzio...! Hofu hatuja zoea...! sisi tumezoea kuambiwa maendeleo ya miradi kama SGR, japo stigila siisikii sana... liganga na mchuchuma... mbowe kizuizini... haya ya jumapili na magwanda tumezoea kidogo ktk korosho na forex huko arusha...
 
View attachment 953496View attachment 953496

Kuwadi wamabepari alishiba sana kipindi kile this tm anasoma Namba nakupost picha. Kkwkwkwkwkwkwwkwk
 
Huyo mwanajeshi ni wa nchi gani? Hapo ni wapi? Membe alienda lini na kufanya nini? Bila haya maelezo ni utata mtupu
 
Kinachoendelea sasa hivi ni muunganiko wa maji na mafuta ya kula+nyanya+kitunguu+viungo vingine vya mboga ili tupate chuzi zuri na tamu la kulia wali nazi 2020
 
View attachment 953496View attachment 953496
Una tutisha au una mtisha??? Zitto usitupe wasiwasi sisi watanzania wenzio...! Hofu hatuja zoea...! sisi tumezoea kuambiwa maendeleo ya miradi kama SGR, japo stigila siisikii sana... liganga na mchuchuma... mbowe kizuizini... haya ya jumapili na magwanda tumezoea kidogo ktk korosho na forex huko arusha...
Anamtisha yule naelala na file la BM kitandani

2020 twende na BKM

#KazinaBata
 
Back
Top Bottom