Zitto amtwanga barua Balozi Mwapachu


naugana na wewe kwa uliyonena
 
[I doubt if Zitto is 100% clean QUOTE]

Luke 18:19b
Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye MUNGU

 
Ndugu zangu hizi hisa za Barrick ni za institutional investors na sio sisi makabwela; kabwela ukinunua hizi hisa itakula kwako kwa sababu kwa muda mrefu sasa policy ya Barrick gold ilikuwa HEDGING which means faida ya bei nzuri ya dhahabu hawapati hawa watakaoinvest sasa bali wale walionunua hiyo dhahabu awali kwa bei ya chini na sasa wanafaidi kuuza dhahabu kwa bei ya JUU!! For long term investors pengine inaweza kulipa baada ya miaka fulani!! Small investors keep away from Barrick!!Whoever thinks Juma Mwapachu is in the Barrick Gold board to safeguard our national interests should have his head examined!!
 
cha msingi ni kufanya kama botswana kufuta leseni zote za madini na waanze upya kuomba leseni.then tuanzishe regulator wa kusupervise na ku audit financial statements za haya makampuni ya madini.zito atuambie mapendekezo yote ya kamati ya bomani yalifanyiwa kazi,kwa sababu ile kamati ilitumia fedha nyingi za walipa kodi wa nchii hii kulipana posho.
 
naungana na wewe,,this is not a final solutions for our mining sector,we must establish a rugulator to supervise and regulate this sensitive sector for our economy,kamati ya jaji bomani ilitumia fedha nyingi za walipa kodi wa nchii hii kulipana posho,zito atuambie alipata posho kiasi gani kwenye ile tume??
 
The way I understand how double taxation works is that if corporate tax of Tanzania is higher than that of UK; ABG would have paid corporate tax in Tanzania only. On the other hand if our corporate tax is less than UK; in UK corporate tax would be calculated using UK rate but the liability to be paid in UK will be tax calculated using UK rate less tax paid in Tanzania.

What I dont understand is how three individual companies will end up in taxable losses in Tanzania BUT when consolidated in UK end up with huge profit that warrant payment of dividends. I would expect TRA to go further by re-consolidating individual companies making up ABG and compare with annual report found in LSE.
 
Tutapiga kelele hapa lakini kama hatutumia forum hii kwa kuchukua hatua tunapoteza muda tu!! wachache wetu tunafahamu kila kibaya kinachafanyika kila kukicha ni ajabu tunaleta thread muhimu hapa tunabaki kuchaingia tu na kuonyesha hisia zetu halafu basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Tutaliwa mpaka tukome! we must wake up bana hii forum iwe ni tunafanya nini si kupiga kelele ala!:embarassed2:
 


si kweli, PR wa Barrick ni Teweli Teweli kabla ya Teweli ambae amekaa Barrick for almost 4 years now alikua ni Sauda Simba Kilumanga, sasa huo u PR kauanza lini?? sema zitto ni mtu wa karibu sana na barrick na hata alipokua kwenye kamati ya rais alikua analipwa pesa ya siku na barrick (sijui kulikua na uhusiano upi) na niliwahi mshuhudia akilamba mil.1 kwenye bata hivi hvi mwanza huko na akmpigia PR wa barrick akataka aongezwe pesa. .

 

Katika nchi zilizokuwa makini, huwa wanapeleka watu wao nje kusoma in good business schools!! Ikiwezekana wana-lobby na kazi nzuri ambayo itawawezesha kuelewa haya mambo ki undani halafu wanatrudi kwao kulinda na kujenga nchi!!!

Haya yalikuwa ni mambo ambayo yalipaswa kuwa-ear marked kwenye mkataba right kabla hatujafika huku!!! Sisi kila kiyu ni suprise tu, kila kitu hatukujua kama itakuwa hivi.....

Thank you Zitto for this! KAzi iliyobaki ni kuwaanika tu mchana kweupe!!
 

Read between the lines!! Its all there!! Kuwa PR wa Barrick imekujaje....!!!! Mbona kawaanika sana tu hapa.......
Phyuuuu...........
 
Zitto, jungle of all trades master of NONE
 
Yote tisa kumi namtaka rais kama Kagame au Chavez basi.. haya mashirika wezi tu hawawezi kukubaliana mahala ambapo itapunguza profit margin zao..They careless about us, it's all about them and thier their interests comes first..Hata tukiwabembeleza vipi sana sana watatuita sisi ndio waroho na tuna wivu wa utajiri wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…