Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Yote tisa kumi namtaka rais kama Kagame au Chavez basi.. haya mashirika wezi tu hawawezi kukubaliana mahala ambapo itapunguza profit margin zao..They careless about us, it's all about them and thier their interests comes first..Hata tukiwabembeleza vipi sana sana watatuita sisi ndio waroho na tuna wivu wa utajiri wao.
Kumbe hatutofautiani sana mkuu,sijawahi kujua tuna mawazo yanayoshabihiana kiasi hiki katika hili.Hii ndiyo ndoto yangu siku zote na ndiyo maana baadhi ya watu wamekuwa wakinibandika majina ya ajabu hadi kuonekana sipendi demokrasia n.k......Tuombe Mungu,tuongeze spidi.Tutafika,hakuna njia ambayo taifa hili litapona bila mapinduzi !