Muarobaini
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 215
- 73
Mkuu umeuliza swali zuri sana,
Kuna wapuuzi wachache hapa wanatushangaa tulisema Zitto ni mnafiki,
Anatafuta huruma ya kiraia kwakuficha ufedhuri wake
kukupuuza .
Ni msimamo mzuri wa kutenda unachohubiri.Wabunge wanachukua mushahara isiyokatwa kodi.Ni mbunge gani aliyewahi kugomea mshahara usiokatwa kodi?
Ongezeko la mshahara kwa wabunge halijawahi kupingwa pamoja na kuwa ni wizi kwa wananchi Tunahubiri tunachotenda?
Unataka fact gani?
Nenda chadema makao makuu,
Ukishindwa
Muone invisible atakupa kahifadhi kwenye sever yake,
Ukishindwa na huko basi nitumie barua pepe yako nikupe full fact
Mkuu Yeriko punguza hasira njia ya mnafiki ni fupi tu pangeni hoja zitazo chambua na kutatua tatizo ili ukweli na msimamo tuujue ni wa mahala flani tu na si kwenye vitu vingine?
hapo mkuu umegusa wengi ni wengi na wengi hasa. lakini msimamo wa Zito una maana sana kama watu watakuwa hivyo. kama vile viongozi wa dini watukatazapo kufanya matendo maovu tunatekeleza hata kama tunajua au hatujui mambo yao ya gizani. Principles zinabaki kuwa principles na mtu anabaki kuwa mtu na udhaifu wake. sasa tunajiuliza hizi principles za Zito si applicable/relevant? huku tukimweka kwanza pembeni.yote haya watanzania tunayaona. na pia ni uzalendo kutoka kwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.
shida iko pale anapokataa posho halafu anachukua mabilioni gizani, ambayo ndiyo malipo ya hovyo kabisa kupita zote. kuna maana gani ya kukataa posho za wazi halafu gizani anapokea mabilioni ambayo ni kodi za watanzania?
Zitto katika Facebook wall yake leo. Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na wengine wa kawaida kabisa hatuchukui posho. Sio posho tu, hata msamaha wa kodi wa kuingia magari nimeukataa sababu ya misingi tu, kwamba siwezi kuwa Waziri kivuli ninayepinga misamaha ya kodi wakati huo huo nikachukua misamaha ya kodi. Ninaamini katika siasa za kutenda ninachosema. Mjadala wa posho kwangu mimi nimeufunga toka Juni 8, 2011 nilipoacha kupokea posho za vikao. Mwaka huo pia nilikataa msamaha wa kodi ya kuingia gari. Ni msimamo tu, hapa mtu hupendi msimamo wangu isiwe uadui, wewe endelea kuchukua posho, omba ziwe nyingi zaidi na wala sitatia neno kwenye msimamo huo japo nitaudharau maana posho za vikao ni kuwaibia wananchi ambao hawana maji safi na salama, watoto wao hawana walimu sababu Serikali haiwalipi walimu vizuri, kina mama waja wazito wan.we zito mnafiki tu kwenye vikao vya PAC nssf unapewa shs ngapi!zile milion 300 ulipokea za nini!
yote haya watanzania tunayaona. na pia ni uzalendo kutoka kwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.
shida iko pale anapokataa posho halafu anachukua mabilioni gizani, ambayo ndiyo malipo ya hovyo kabisa kupita zote. kuna maana gani ya kukataa posho za wazi halafu gizani anapokea mabilioni ambayo ni kodi za watanzania?
mkuu zito ni janga.yeye posho za vika zinafidiwa na rushwa kubwa ktk vikao mashirika ya uma.data tunazo kibaoZito ni mfano wa kuigwa siyo hawa wanasiasa pori kama lema na wazee wake wanaomtuma.
Hili suala mods walishalitolea ufanunuzi,hata huyo yericko alipoombwa ushahidi hajatoa,hivi unajua sababu ya mods kuitoa ile mada ubaoni? Niyale yale majungu,ulitaka zitto ajibu majungu yasiyo na ushahidi?
Unataka fact gani?
Nenda chadema makao makuu,
Ukishindwa
Muone invisible atakupa kahifadhi kwenye sever yake,
Ukishindwa na huko basi nitumie barua pepe yako nikupe full fact