Niliwahi kushauri kitu hiki katika moja wapo ya mitandao ya kijamii na leo narudia. Ningetamani kuona ibara hii katika katiba "IWAPO MBUNGE ATAJIUZURU KWA HIARI YAKE BASI CHAMA KILICHOMDHAMINI KICHANGIE ASILIMIA 50 YA BAJETI YA UCHAGUZI MDOGO NA GHARAMA ZOTE ZITAKAZOONGEZEKA NA IWAPO CHAMA KIKIMFUKUZA UANACHAMA MBUNGE WAKE BASI KICHANGIE 100% YA GHARAMA ZA UCHAGUZI MDOGO.
NA MCHANGO HUU WA UCHAGUZI UTAPUNGUZWA KATIKA RUZUKU YA CHAMA NDANI YA KIPINDI MAALUM"
Tungekuwa na hii kitu ktk katiba yetu ya Kafulila na gamba la Igunga tusingeyasikia na tungeokoa kiasi kikubwa cha fedha za walipa kodi wenye njaa,hawana mikopo ya elimu,hawana barabara,walimu wanaoidai serikali na mengine kibaooo, nawasilisha
Vyama vina katiba zao na hizo katiba zimeweka utaratibu wa kufikisha malalamiko kunakohusika. Nccr ilivurugika wakati ule waMrema kwa kuwa Nidhamu ilitoweka kila mtu anasema lake
Atatulia kashajifunza kitu,so ajiunge na wapambanaji
Siasa sio magazijuto kuwa lazima uanze kufungua mabano maamuzi ya kisiasa yanategemea hali na mazingira yaliyopo, incident ya Kafulila ni tofauti na ya madiwani.Mbowe mbona unakuwa mnafiki, kwani Chadema walivyowafukuza madiwani Arusha hawakutumia busara!
Au Arusha gharama sio kubwa!
Nafikiri amemtambua mchawi wake ni nani. I've always said that in politics, your enemies can't hurt you, but your friends will kill you.Kafulila karibu sana CDM bila shaka sasa umekomaa.
CHADEMA haijawahi kumfukuza Kafulila, ila alivuliwa wadhifa wake kama msemaji , yeye mwenyewe ndio alijiondoa. . . .Aache kuzurura huyu,,na zitto si kamkaribisha?sioni kama ni uamuzi sahihi wa chadema kumeza matapishi.