Chifu, hili la fedha za Uswisi si ni Zitto huyo huyo alipoulizwa na AG Werema (kwenye kamati) kuhusu majina akasema hana, ama?! Sasa hapo anastahili sifa ya nini wakati alikuwa akidanganya raia??
Sasa kiongozi atajifikiria mara mbili vipi wakati jamaa yako hata jina moja hakuwa nalo. Na pia kwani hukusikia tena juzi juzi hapa benki moja ya Uswisi ilitoa taarifa za fedha za waafrika (wakiwemo watanzania) zilizomo kwenye benki hiyo?
Kuna msemo kuwa kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, nafikiri unaupata.
Ebu toa evidence kuonyesha "they are not better without him..." Na onyesha "what happened the year they sidelined him"
Pamoja na hao kuwasidelined kama unavyodai, matokeo ya serikali za mitaa yanakuumbua chifu. Kwani UKAWA imefanya vizuri kuliko ilivyowahi kutokea katika siasa za vyama vingi. Sasa kwa kutumia mfano huu (ambao ndiyo muhimu katika siasa), unapata guts za kusema "they are not better without him"??? How better do you them to be?!??
Wewe ndio unafikiri hivyo. Edward Snowden, na wengine wengi mchango wao unafahamika kwa kupiga kelele tu.Kwa jamii yenye kuendekeza USIRI, kelele kufichua usiri huu ni jambo la msingi. Kuhusu HSBC nadhani hufahamu kuwa PAC wanafanya vikao na PCCB kuhusu hili swala, hebu jaribu kusoma japo kidogo tu.
The evidence is right under your nose. Nimekueleza the biggest political incident of 2014 was ESCROW and It was started coordinated and executed by two CHADEMA Exiles KAFULILA and ZITTO. Usichoelewa ni kipi ndugu?
CHADEMA is a political party, and the biggest news for them in 2014 has been UKAWA na katiba mpya, which has it's narrative controlled by CCM,and the best CHADEMA could do is walk out. This is not a win in my book.
No problem at all.
Hold up, wait a minute. So the Premier stayed on but yet a precedent was set that a prime minister can be removed if deemed incompetent? You are contradicting yourself now. How can a precedent of removing a prime minister be set if the prime minister stayed? Ni wazi hujui hata maana ya precedent!!!!!!!!!!!
Trust me, i stopped worrying about my grammar in an informal public forum 20 years ago, i am not going to start worrying about that now. It seems this is all you have left. pettiness. sad.'off the top of my head' - source
You are a bundle of contradictions! One minute you say you don't remember off the top of your head and the next minute you say you "can confidently say" no one else from the opposition had a similar argument? You are a trip!
Kwa kulazimisha mafanikio ya ZITTO yawe individualistic, wakati it's common knowledge kwa mtu kuwa na mafanikio kama kiongozi,na akatoa credit kwa timu yake au washiriki wenzake.Nimelisogeza wapi?
It's the gentleman thing to do? Hapo unatafsiri 'uungwana' au....? Kwamba kufanya hivyo ni jambo la kiungwana?
Tazama hansard za bunge yakhe, tusichoshane. Hoja zote zilizoletwa na wapinzani mwaka jana ziko kule. Burden of proof kuwa hoja haijazizima ( ka hujui kiswahili sio kosa langu yakhee) iko kwako. kama unadhani kuna wapinzani wameleta hoja nzito mwaka jana zilizojadiliwa kwa mapana na marefu mwaka mzima wataje wewe, na uzitaje wewe hizo hoja, mie nimesema hawapo wa kutosha, wewe unaodhania wapo wataje.Utaje huo mwaka na taja hizo hoja zililetwa lini mpaka lini ili nione kama kweli zilizizima (is that even a word?) mwaka mzima.
Viongozi gani wakuu wa serikali waliwajibika kutokana na hoja za Zitto?
Usinigeuzie kibao mimi.
Hahaaaa okay, but I'm not playing dumb. Don't get defensive when you can't answer a question. And it's okay to say 'I don't know' when you don't know.
Like when is making noise better than keeping quiet?
But how do you know for fact that what they say is actually what they believe and not just talk to aimed at scoring popularity points?
Hapo awali kuna kiongozi gani aliyeweka fedha zake Uswisi?
Hapo unajidhihirisha tu jinsi viwango vyako vilivyo chini. Unakuwa impressed na vitu vidogo vidogo mno. Huna tofauti na wale wanaoita wenzao 'vichwa' kwa kuongea mambo ya kawaida kabisa.
Wewe ndo unadai wako wachache sana na kwamba hawajai kwenye viganja vya mikono ukiwahesabu. Kwa kusema hivyo natumai utakuwa unawajua maana unaweza hata kuwahesabu.
Nitajie basi hao wachache wasioweza kujaa viganjani?
Good.Nami sikusema umesema Zitto hana mabaya. Unajihami bure tu.
Sure, may we continue to live in interesting timesThe jury is still out on that so we shall see.
I think they are 10 times better now. And dare I say it was good riddance to bad rubbish.
Escrow Saga bungeni DODOMA.My opinion,yours?Best political event of the year? What was that?
CHADEMA can go on without him. He is expendable.
Kwahiyo unamlinganisha Snowden na Zitto, ama?
La msingi ni kuwa hujazungumzia hoja yangu kwenye hili suala. Zitto alitamba sana kwenye social media na hata bungeni kuwa ana majina ya vigogo walioficha pesa Uswisi. Kuitwa kwenye kamati ili atoe majina hayo, akasema yeye hana majina!! Sasa hata kujaribu kumlinganisha mtu huyu na Snowden, unapata wapi hizo guts?!?
Hapa tunamwongelea Zitto, kama Zitto binafsi....maana wewe unavyomwonyesha Zitto ni kuwa yeye ni jeshi la mtu mmoja. Sasa ukianza kuingiza kazi za PAC, labda tubadilishe hoja. Maana PAC si kazi ya Zitto, ni kazi ya kamati nzima. Yeye kama mwenyekiti yupo kuongoza timu, bila timu hakuna PAC, ila bila mwenyekiti PAC itaendelea kuwepo.
Getting 20 something percentage of votes is not a big win, that is something CCM should be celebrating. For chadema that was a step in the right direction. Sorry, to disappoint you.Okay chief. Every political party's goal is to win elections and get in power. This is the ultimate goal. In the last year's local governments' elections, UKAWA won many seats than it has ever happened. Now, that was the biggest political event for opposition parties, and not ESCROW.
It is appalling how you come up with these authoritative conclusions without factual evidences!!
I have said, and I am saying this again: the ultimate goal of a political party is to win elections and get in power. If it happens a party succeed in doing so, then that is the biggest news for the party and its followers, and not otherwise.
You talk about the KAtiba Mpya narrative thing being controlled by CCM. You also write on how UKAWA walked out of the Bunge. It seems that you are contradicting yourself!! We all know what happened after UKAWA walked out, the narrative changed from Katiba Mpya to UKAWA. I don't how you reached a conclusion that KAtiba Mpya narrative is controlled by CCM. Have you seen how shivery CCM and its government are now? They are planning to spend billions in charming a YES vote. If they were in controll of the narrative, they wouldn't need to do that, right?!
Check your facts again chief.
Precedent is in the vote, that has never happened before, you keep playing dumb and dumbing everything down to the minimum level, this is childish.
Trust me, i stopped worrying about my grammar in an informal public forum 20 years ago, i am not going to start worrying about that now. It seems this is all you have left. pettiness. sad.
you probably missed " toka upinzani Tanzania"
So, yes i don't remember from CCM but i am sure there is none from the opposition side. See..,
Kwa kulazimisha mafanikio ya ZITTO yawe individualistic, wakati it's common knowledge kwa mtu kuwa na mafanikio kama kiongozi,na akatoa credit kwa timu yake au washiriki wenzake.
Ukijijibu, sitajibu, kwani umeshajijibu.
Tazama hansard za bunge yakhe, tusichoshane. Hoja zote zilizoletwa na wapinzani mwaka jana ziko kule. Burden of proof kuwa hoja haijazizima ( ka hujui kiswahili sio kosa langu yakhee) iko kwako. kama unadhani kuna wapinzani wameleta hoja nzito mwaka jana zilizojadiliwa kwa mapana na marefu mwaka mzima wataje wewe, na uzitaje wewe hizo hoja, mie nimesema hawapo wa kutosha, wewe unaodhania wapo wataje.
Kama unamaanisha kuwa waziri mkuu wa Tanzania sio kiongozi mkuu wa serikali, au mawaziri waandamizi wa serikali sio viongozi wa serikali, au wenyeviti wa kamati za bunge zio viongozi wa serikali, then i guess umeamua kuleta ligi tu hapa.
Hakuna aliyekugeuzia kibao,kw akushindwa kuwataja hao viongozi wa CHADEMA waliotoa Hoja kumshinda ZITTO waliojaa viganja vya mkono unakubali "implicitly" kuwa zitto ni ametoa Hoja kuwazidi viongozi wengi wa CHADEMA, ni ngumu kutamka kama una vendetta, ila it's understandable.
Good job quoting out of context to divert what is clearly the fact that you are conceding the facts.
You are playing DUMB
by telling people to stop giving ZITTO credit for overseeing success of institution he leads,
yet many people have no problem isolating JK when there is failure in the government he leads. The fact that it's clear the buck stops with the leader, and credits always goes to the leader, yet you are dennying credit to ZITTO for being a leader on the recipient end of these credits shows the side of you that has decided to play DUMB. Got it now?
When corruption is rampant, when oppression is obvious, when the truth is hidden, the only time that keeping quite is the better option is when you have nothing of substance to contribute. I would take a politician who constantly remind the ruling party of the importance of good governance and transparency in governance, over one who sleeps in between parliamentary sessions.
They are politicians, scoring popularity points is part and parcel of their JOB.
I am not naive to think Politicians are supposed to be humble. that's a trait i like out of my accountant.
A good politician is supposed to be bold and open about what they believe and communicate that to his electorate as open as possible
CHENGE.
NO, I am a realist, I understand context, and i am discussing this based on existing political context in Tanzania.
We are where we are in Tanzania because our leaders have failed to take even the tinniest of steps to correct wrongs or oversee governance.
We have had the ethics body for many years, but only this year we have seen them "waking up" and start questioning leaders ill gotten wealth.
Hivi vidogo wanavyovifanya kina zitto ni vikubwa sana impact wise kwa ustawi na maendeleo ya nchi.i will take that anytime over empty promises of big things and results that never see the light of day.
BRN comes to mind.
I don't expect for a Heathrow standards airport when i fly out of Luton the same way i don't expect a camry to be as powerful behind the wheel as LaFerrari. Call it whatever you want, but i have different expectation levels for different individuals, surroundings and situations. If you package everything into as single set of expectations then you must have a very "interesting" view of things.
kwa nini usiwataje hao wengi?
Mie ninaoona wenye afadhali mule ndani ni Lisu, Mdee na Mnyika. Slaa nimemtoa kwa kuwa sio mbunge, mbowe kwa kuwa ni Mwenyekiti, kwa hiyo automatically ana chukua credit za timu yake yote. Waliobaki i don't see much.
Haya nasubiri wewe unitajie hao wengi sasa..,ukumbi ni wako
Good.
Sure, may we continue to live in interesting times
A good "exact" figure with zero backup, care to put some meat on that sentence?
Escrow Saga bungeni DODOMA.My opinion,yours?
Of-course even NCCR went on without Mrema, as a shell of it's former self.
Actually ZITTO is not as big a loss to CHADEMA as what he stood for.
For any serious politician in Tanzania, CHADEMA just portrayed themselves as a party that can not accept opposing views.
CCM with all it's shortcomings has done a good job to accommodate opposing views at the higher spectrum of its leadership chain.
Today you look at Lowasa, Magufuli, Membe, Wasira, Makamba, Mwigulu and countless other presidential hopefuls and you see a party that accommodates people with very polarized views of where the country should head. This in my opinion is the strongest CCM has been for a long time.
Mkuu wengi humu wasahaulifu lkn sijui kama wewe unakumbuka vizuri. Hilo la kwanza lisingewezekana kwa sababu Zitto mwenyewe aliwahi kusema kwamba hakuwahi kusomewa wala kupewa orodha ya mashtaka 11 ila kuulizwa tu kama alishirika kukisaliti chama. Na kama unakumbuka vizuri kabla ya waraka ule kutolewa Zitto mwenyewe alianza kubuni sababu zake humu JF, mara ukatoka waraka feki na kadhalika hadi tukaambiwa kulikoni..Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) Kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu,
(b) Baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
Then make yourself clear by being very specific. You can't toss around broad generalities and expect not to be checked.
I wasn't even correcting you about grammar. I was correcting you about the saying. It's sad you can't even tell the difference. Perhaps you should start worrying about your overall knowledge which is more than just grammar.
Nope.
Oh, pettiness, it's something i look forward to,when seeing your replies.
kasome Hansard za Bunge.[/COLOR]
What makes you be so sure about it?
Mimi sijasogeza goli kwa kulazimisha mafanikio ya "ZITTO yawe individualistic". Hiyo ni tafsiri yako ya kimakosa.
Right after you implied mafanikio yalikuwa ya wote..,keep on with your pettiness. it's all that's left now i see.
Something i expect from someone, who has resorted to quoting everything out of context to keep up.Huwezi kujibu kwa sababu hujui hata ulichokiandika.
Naona umeamua kucheza seesaw sasa.
Naona una matatizo na kuwa mahsusi.
Usilazimishe mambo. Sijakubali chochote "implicitly".
And what's the context I quoted out of?
Hivi umeukariri huo msemo?
You are acting dumb, and i cant find another word to complement your behavior, act different, i will come out call you differently. How about that.
You've got it all twisted. I haven't told anyone to stop giving Zitto any credit.
Challenging what one says about someone is not the same as telling them to stop showering a person with plaudits.
I din't shower anyone with anything, i listed very specific accomplishments and credited them as due, you disputed them, yet when i asked for basis of your disputes, you started deflecting that these were not individual achievements,and some of the achievements were shared by other MP's as well. For you, denial is your best option regardless, if its doesn't have any grounds to stand on.
You called it lip service, i call it oversight.When i look at their job description i look for oversight, you look for lip service. Then you wonder why we do not see the same thing. Nuts ( there, i found another "word" to explain what your commentary)Where in their job description is it written that lip service (to score popularity points) is part and parcel of their job?
Politics is a rough and tumble business and most people realize that. I (and many other people for that matter) just want people (politicians) who are about that action. Not empty rhetoric.
I agree to that, expecting a politician to be about action 100% of the time is more like expecting a footballer to run all the time, running (action) is necessary to a certain degree, but stopping (rhetoric) is to be expected.
If you read correctly what i type, i do not put unnecessary and unrealistic expectations towards a politicians and i am more towards expecting realistic results. Not daydreams.
You'll get no argument from me there.
wisdom
Too short memory, go ask the man himself as he confirmed the existence of the monnies to SFO, and if you don't take the guy's word, go to SFO, and ask them for the records. Seriously you'r stubbornness is childish.Evidence...?
Okay, let's see if you really understand context as you claim.
keep looking
Oh so it's only the leaders' fault?
Yes, I define leaders from grassroots to the very top of leadership chain. Grassroots leadership helps organize the society and mobilize development. In middle level we have managers who fail to get the best out of their teams and directors with lack of vision and skills.
I will not start to blame a farmer here, if that's what you are looking for..,
Next time you ask that provide, counter argument, tired of directionless questions.Are you sure about that?
Kina Zitto ndo akina nani hao? Wako wangapi?
Not my Job to count or tell you who they are, if they are not important, wapotezee, if they are important watafute uwajue. In your own time.
Depends on where you count. again, it's your opinion.CHADEMA is far bigger than NCCR ever was.
Huh?
It's okay to be lost
How exactly? Did Zitto get drummed out because of having opposing views?
Was Zitto kicked out because of holding opposing viewpoints?
Duh, that's no longer news or information. Stop asking me questions that are public knowledge. spend to time to read for yourself.
Kimweri na Nyani Ngabu Wakuu acheni basi imetosha, halafu mnashangaa kwa nini Mbowe na Zitto hazipandi?..
Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) Kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu,
(b) Baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
mkuu wewe ndo umeeleza ukweli bila kificho. tutakutana october-december 2015. tutatenda.wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo kukurupuka kumng'oa huenda pia kukaleta madhara makubwa sana kwa chama kuliko watu wanavyo dhania,km kumegeka kwa wafuas,siri za chama kuwa pasipo huska km na yeye ataamua kukomoa,jino kwa jino,akuanzae mmalize... n.k
Tangu mwanzo wa mgogoro tulishauri kuwa kwa kiongozi kijana kama ZZK ilikuwa ni muhimu kuwa na washauri wenye mtazamo chanya badala ya wasaka tonge. Ninaamini bado ana nafasi ya kufanya mabadiliko na akabakia kuwa a young political icon kwa siasa zetu.