Zitto amefeli Leadership Qualities

Tunataka chama kinachofuata na kuheahimu na kuilinda katiba na kuepuka kulindana ata pindi mtu wa karibu na mwenye ushawishi vip kwa watu ila akivurugaa anapigwa chini na maisha yanaendelea
chadema wameonyesha mfano mzuri hawakujari umaarufu wa zitto au watu wangapi wanamfuata nyuma ila kwa sababu kavunja katiba basi atupishe
hichi ndo chama cha kukipa nchi
 

Mkuu haya mambo ya Zitto yana historia ndefu sana na pengine wengi mnawaza matokeo yake sasa kwavile hamjafatilia siasa hizi muda mrefu. Zipo hayupo active kwenye shughuli za chama muda mrefu sana na ofisi yake kuu ni Facebook na Twita......
 
Naomba kuuliza je kwa hiyo hana tena ubunge? au kuna hatua za kufanya ili apoteze rasmi ubunge?. Kama zipo zifanywe haraka tuone muvi itaendeleaje
 
Zitto alikua naibu katibu mkuu wa chama sasa alitaka nafasi gani tena ili alidhike
Ifike kipindi binadamu tuwe tunalidhika na tulichonacho
Ata shetani alikua ivo ivo kajawa na Tamaa anatakaa high power more than the Almighty
Ndo kama zitto sasa mwisho wa siku anakosa vyote na kuanza kutengeneza utawala wake ambao hakika hauta dumu for last longer
CHADEMA chini ya Mwenyekitu Mboye je?? Chama kinashuka au ndo kinapanda
Ukiangalia Uongozi wa mboye umekua na mafanikio sana na kufanya chama kimekua na mvuto kwa wananchi kwa kawaida tunaona tunatoka kwenye point moja tunaenda nyingine sasa anapotokea mtu ndani ya chama anakua anahalibu badala ya yeye kua ndo mwenye uchungu wa kukijenga chama ili baadae aje afaidi matunda ya misukosuko yake na safari ndefu
Uamuzi wa chama ni mzuri kabisa wamemtoa ili wao waendelee na safari wakiwa na lengo moja ambalo litaleta manufaa kwa wananchi
VIVA CHADEMA VIVA
 
Pole kaka, Ndio Siasa Zilivyo, Najua ulivyoumia kaka

Lakini nadhani ni muda muafaka kwa Zitto kwenda chama kingine, kwa sababu kama wenzie "hawamtaki" kwa sababu yoyote ile kwa nini alazimishe kuwa nao

kuuumia for what?? tunarudisha nyuma mapambano ya kuiondoa CCM\
unless uje useme zitto anaipaisha CCM...just sad for chadema na mstakabali wake

afadhali yeye hawajamuua
 
nafikiri mawazo yako ni sahihi ila kitendo walichofanya cdm kimewanyongonyesha watu ambao walishaanza kuamini upinzani.hapa ndio upinzani unapoonekana kama wasanii tu
 
Cdm ilisha baki safi wote wanaopiga kelele
humu Kumtetea zito ni mafisiem jamani mfuateni act
 

chagalism ndani ya chadema
 
WAKATI ZITTO ANA ZAIDI YA MIKA 20 CDM.[/QUOTE] zitto anamiaka 20 na chadema hii kali. Kwa hiyo chuo kikuu alijiunga na miaka 17? maana 2015 atakuwa ana miaka 37. 37 ukitoa 20 unapta 17. N yeye mwenyewe alikiri Mbowe ndiye alieyemfuata akiwa chuo Kikuaa ili ajiunge CAHADEMA kweli wafuasi wa zittomna safari ndefu ya kujenga hoja
 
Mnajitekenya Leo mnacheka ....Hakuna kama Zitto kabwe
 
kama ccm hamwezi maamuzi magumu sisi tunaweza kila siku lowassa anawajambisha ila kumtimua hamwezi kazi kumchafua na kumtukana tu
chadema ni mpango wa mungu
woga wenu woga wa kijinga aibu kubwa hamtaki kuambiwa ukweli udini ukabila ukanda umewajaaa,mtakosa kura kwa uzembe wenu,cdm bila zitto hakina mvuto.zitto,kitila wangemsaidia sana mbowe ambaye hana uwezo hata wa kujenga hoja ni mwanasiasa wa kurudia rudia maneno.
 
Mi nauliza kama keshapoteza ubunge wake rasmi au bado kuna hatua za kumwarifu spika ili ampige marufuku kumwona bungeni? Kama bado kuna hatua zaidi basi wazikamilishe haraka ili tuone muvi litaendeleaje
 

Ndio anarudia rudia maneno lakin chama kinasonga mbele zitto kasimamishwa mda sana kwenye chama na huyo mkumbo ila angalia uchaguzi mdogo chadema imefanya nini bila hao wasaliti wako
Chadema kuna watu makini sana zaidi ya zitto na tuna vijana wapo wengi sana wasomi na wenye uwezo mkubwa sana
Na siku zote dhambi ya usaliti haitaweza kuwaacha na huko wanapoenda napo watafanyana ivo ivo
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
 

Well said dudus!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…