Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
AAAAAA aaaaa AAAAA wapi!!!! Ina maana kule CDM hakuna wanachama wa dini nyingine? Hakina wanachama mikoa mingine? Poleni sana!!!! Mtendaji wako Mkuu alitakiwa aeleze ni kwa kiasi gani chama chako kilitumia maneno ya ukanda, udini, mara ukabila ili kukififisha CDM na evidence za tape za mikutano yenu ya kampeni yupo!!! Hadi leo mh. Lema alipeleka evidence, imekuwa jiiiiii!!!! Acheni propaganda!!! CDM iko mioyoni mwa watanzania!!! Subiri kidogo tu majibu yatatoka!!!
 
Mi nilidhani anawashitaki Dr au Mbowe, kumbe ni Kilewo? . Historia imeshaandikwa - katika harakati za ukombozi dhidi ya magamba kuna wasaliti wasomi walijaribu kuzitibua kwa mbinu za kimafya wakishirikiana na Mwigulu, Nchimbi na TISS
 

Kama hamfaidi kitu mbona mnashupalia usiku kucha Zitto zitto, uchnguzi uchaguzi. Nonsense kabisa!
 
Zungumzia suala la gesi acha longolongo tokea umepata vihela vya rushwa umetutelekeza
 

Mkuu umejuaje kuwa cacico ni mwanamke!!! Si anatumia hidden ID tu kama ya kwako? Sema pia hapa JF uwanza ni wazi ili mradi usitukane!!! Kwa hiyo cacico alikuwa na uhuru wa kujibizana ili mradi hakuvunjii heshima au vipi mkuu wangu the Big Show? Poa, poa tu hapa ni keyboard tu maana kuna watu wana ID za kike kumbe ni midume na ndevu zenye mvi kabisa.
 

Wewe sio wa kwanza kusema maneno yasiyo badilika kama wimbo wa taifa, alifukuzwa kaburu katibu mkuu aje kuwa naibu ! Hakika utaendelea kuishuhudia chadema yenye nguvu na afya cha muhimu zingatia hili! "utakufa wewe na kuiacha chadema imara zaidi" .
 
ZZK anashauriwa na ccm,Picha linaendelea na sasa starring ni jini!! Huku mwigulu huku lukuvi,mbele zzk na nyumba nchimbi..! Nchi za africa na siasa zake ni Majanga matupu
 

hupati raha bila kutaja kabila la mtu kwa dharau? ukabila tuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Achana na Kikwete huyo ndio Rais ambae hata Mwenyekiti wako anasema;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Mkuu FaizaFoxy, haya ni maneno ya kejeli!! Ninakuhakikishia hayatoko moyoni!!! Siasa ni kuchokoza na watu wakiitupa katika net basi ndiyo utaujua ukweli!!! Si rahisi Mh. Mbowe awe amedhamiria hayo uliyo quote hapo juu.
 
hupati raha bila kutaja kabila la mtu kwa dharau? ukabila tuuuu!

Usishangae mkuu, hizo ndizo propaganda za magamba!!! Walipotolewa CDM ya viongozi wao waandamizi wakitamka ukanda, ukabila na udini basi walifyata mkia hadi leo kimyaa hakuna majibu!!!
 

Hiki chama kina mapenzi ya kweli kwa waumini wa dini ya kikristo ila muislamu wa kweli aliyekamilika imani yake hawezi kukaa katika chama hiki. Nakubaliana na mipango ya makaratasini ya CDM ila jinsi viongozi wa chadema wanavyoudhihaki na kuwatukana waislamu kamwe muislamu wa kweli hawezi kaa meza moja na watu hawa. Ushahidi ninao.
 
Mfa maji haachi kutapatapa. So my comrade Kilewo vuta subira na hakika kesi hii utashinda na hatimaye litakuwa pigo lingine tena kwa Zitto na hatimaye tutamsahau kabisa kisiasa. Walikutengenezea ya UGAIDI sembuse hii. Shame on them.
Huyu kijana lazima aende na maji wataalamu wa IT wapo, ushahidi unaweza kupatikana na bila shaka yoyote unaweza kuthibitishwa hata akitumia jina bandia.

 
zitto aachane na hao hai jamaniii arudi ccm nyumba ya watanzania wote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…