Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.

Kwa hiyo wewe ni Zitto wewe ni mdini mfitini na zandiki manake una panic unaandika hata vitu bil kujijua waliopokea magari ya M4C Mtwaa na Lindi ni wakrsto we acha ujinga na matusi rejareja
 
Haina shida askari wetu Zitto kwan hwz kula mua bila kukuta kifundo,na cku zote mkweli hua hapendwi nadhan mtambua kua kuna vingozi wengi tu ambao wamehujumiwa kwa kutenda haki.ucjali Mh. Zitto wakizingua jituoe tuanzishe chama chetu tuone kama watafika popote na jeuri zao hawajui kua we ndo umeishika CHADEMA
 
» THE BIG SHOW mbona wewe kila post upo kwa Yericko Nyerere ? Jamaa anakaa mjimwema na sio mbutu,yericko hafanyi kazi za kupiga ripu ana kampuni yake na ofisi yake kabisa!! THE BIG SHOW weka ushahidi wa Tuhuma zako!!

»Dogo aka Prezzo ndio kwisha habari yake alikuwa anaishi town,kuendesha vogue,hummer na kuchukua warembo kina diva na wema kwa kutegemea fedha za TISS kwa kuuza chama,sasa anafukuzwa dolla 260k quarterly kwishne atabaki kuwa mb wa mahakama tu na 2015 hapati ubunge tena! Cha msingi akomae na TISS wampe hata $400k kama kiinua mgongo maana atahaibika sana!!
 
Last edited by a moderator:
vifaranga vya mbowe hivyo naona vinaanza kung'ang'aniwa,ngoja amkabe hadi mama yao ajitokeze

Jukwaa la siasa si pahala pako, wewe saizi yako ni MMU. Jukwaa la siasa si sehemu ya mipasho kama hizi unazotoa kila leo, bali ni pahala pa kutoa hoja mahususi. Understand?!
 
Marekebisho sio kiongozi mwenzake wa CHADEMA bali kiongozi wake wa CDM sababu zito sasa hivi sio kiongozi wa CDM bali ni mwanachama mtiifu wa CDM
 
Naskia raha wavurugane wananchi waone,na sisi tuendelee kuchochea kuni kwenye mafiga.Haiwezekani kanda yakaskazini wawe na akili peke yao.
 
CCM yatosha hatutaki wahuni kuichezea nchi yetu.
Ushuhuda ni ile briefcase nyekundu milioni 250 mshamba mula migebuka imekufanya ugeuke jiwe eti mwazungu waunga,mjizi na matapeli wa hifadhi za yara zetu n rasima za nchi wamalza tembo wabaki madarakani not in the expense of innocent Tanzanians bora urudi kwenu Burundi
 


Hii imekaa zaidi kimipasho.
 
Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba CDM naona wameingia front kumkabili ZZK, kama noma na iwe noma. Na huu ndio uanaume, YOU FIGHT LIKE A MAN, sio kuwa unalalamika kila siku unahujumiwa na unaemhujumu unamuona, ukimuacha atazidi kuleta dharau. Hawezi kubadilika unless ujitutumue japo na ww urushe konde au tiktak kidogo....alaaaaaah Hata kama akikudunda lakini lazima heshima itarudi. Hata Tyson alivokua anashinda yale mapambano yake kwa KOs, lkn alikua anakula ngumi kidogo...
 

Tapeli la gesi hilo limeshaonjeshwa peremende na TISS basi lipo hapa kudharilisha wanawake umeoa hujaoa is non of our business mpakato wa vilaki mbili kupitia M-Pesa vimekulewesha usijifanye unajua kuattack personalities za watu hapa
 

Tusinywe maji kwa kuwa wewe ni nyumba ndogo ya Mwigulu lol.
 
Kwa hiyo munatekeleza ahadi yenu ya weka hao vijana lock up wewe na nchimbi na mwigulu January 2016 mutaozea jela kwa makosa yakuua watu na kutesa watu
Mkuu usiwe na wasiwasi maana hilo jambo la polisi kwa kileo ni la kawaida sana hata dogo zzk anajua ila nadhani anataka kupimana mabavu na kamanda wetu wa ukweli..
 
nadhani Kileo alipost kwenye blog yake ule waraka uliokuwa JF kuhusu Zito alivokuwa akipokea hela CRDB na German
kama ni huo anajua kabisa kilewo sio mhusika wala mwandishi wa huo waraka
ni watu wa usalama na zito anawajua
...angeshtaki na JF pia
 
maccm yatupige mabomu, yatufungulie kesi za ugaidi, then leo yakuandalie press! Zitto imetosha nenda kwa maccm!!
 
usijibiwe we nani?? Ushobokewe kwa lipi?? Bora kuwa masalia kuliko kushobokea wafu! Jiheshimu we binadamu!

sista c,
wasikutishe hao. hili ni jamvi wakitandika we kaa.
kama vipi wapeleke kwa wake zao ambao wanaodai kuwa ni beautiful huku wakiwaacha vijana wa kitaa wakijimegea.

beautiful ....... are they discharging milk?!! instead of..........
we wakiweka hoja za kipuuzi wape za uso .
in jf we entertain no gender inequality or gender abuse neither.

it's where people dare to speak openly without being restricted and given conditions with whom to speak to or not to talk back to.

inaonesha umewakamata na kama wanataka mipaka ya kuchangia waambie waanzishe mitandao yao ili wawe wanachangia na wake zao.

twende kazi sista...
 
Niliisha sema kabla, huyu mtu aondokee akavue migebuka. Wamesha sema hawakutaki...ondoka
 


Now days anasema anasema anaish mji mwema??

eti @Yericko siku hizi umehama mbutu??


Wewe kama anakuongopea ana kampun yake ni vzr akuongopee,ila sisi ukweli tunaujua,

Besides,hatumchukii yericko,bali tunachukia utapeli wake na kumuonya aachane na tabia hiyo,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…