Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
JPM ukiwa sehemu ya baraza la mawaziri bila shaka unakumbuka sakata la Zitto kuzuiwa kuhudhuria vikao na shughuli za bunge kwa takribani miezi minne kwa kufukunyua suala la mikataba mibovu ya madini!
Ulijua alichokuwa anasimamia maana wewe ulikuwa sehemu ya kupitisha hiyo mikataba mibovu 1998 kama member wa baraza la mawaziri!Bila shaka huko ulisema "Ndiyooo"!
Kama kweli umetubu kwa kushiriki dhambi ile basi weka mikataba ya madini na gas wazi!Baada ya hapo tumia wataalamu na wanasheria wakushauri cha kufanya,hata huo mchanga unaokomaa usiende nje,yawezekana unataka kuhakikisha tunalipwa hiyo asilimia 4% halisi na si tunaibiwa hata kwny hiyo 4%!
Wale wa " ndiyooooo" kwa kila jambo wanaligharimu taifa vizazi na vizazi!
Nchi kama Botswana,range yao ya tax ni kati ya 22%-50%!There is no way unaweza kwenda chimba madini kwao halafu ukalipa below 22%!