Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Status
Not open for further replies.
Siasa ni kazi ngumu sana kuliko watu wanavyodhani - kuna kipindi inafikia lazima ujitoe ufahamu ili kujaribu kujijenga kisiasa.
 
Ataweka tweet kama jana kuwa hajazomewa na wala hajawahi kufanya mkutano Mbeya .......Usaliti malipo yake ni hapahapa duniani.....
 
Hapa alisema hakua na ratiba.....kifupi hii ndio mbeya usiulize ukubwa wa ndizi uliza bei mjomba
 
Attachments

  • IMG-20150623-WA0004.jpg
    IMG-20150623-WA0004.jpg
    55.4 KB · Views: 2,496
Mhhh ! Chadema bwana!! CCM itatutawala mpaka KIAMA !!
 
Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?

mnajipanga watu 5 sijui mnakaa/ mnasimama nyuma mnawasha vijisimu venu! mnazomea wenyewe... mnakuja na Heading JF zito azomewa Mbeya !.... hahahaha! utoto mwengine bana...

Chadema ni kama mwanamke aliye achwa, mume akaoa mke mwengine , wewe uliyeachwa unaanza kuweka kinyongo....

Zito anawaumiza sana kichwa CDM
 
Mcubic mambo si mazuri kabisa njoo huku ila uwe mvumilivu
 
Muda mnaotumia kujitekenya na kucheka wenyewe, mngetumia muda huu kupanga mikakati ya ushindi na uchaguzi ndio umefika,
Subirini matokeo ya mwisho mje kulia kama mmeibiwa kura,
Ni juha pekee asiejua nguvu mnayotumia kuaminisha watu kama Zitto kazomewa, nani hajui kazi yenu?
Mmesahau lile dili la kumteka Slaa pale ufipa lilivyobuma?
 
Last edited by a moderator:
Zitto siasa imemshinda, namshauri arudi tu nyumbani kigoma akavue migebuka maana hata Ubunge hapati mwaka huu!
 
Muda mnaotumia kujitekenya na kucheka wenyewe, mngetumia muda huu kupanga mikakati ya ushindi na uchaguzi ndio umefika,
Subirini matokeo ya mwisho mje kulia kama mmeibiwa kura,
Ni juha pekee asiejua nguvu mnayotumia kuaminisha watu kama Zitto kazomewa, nani hajui kazi yenu?
Mmesahau lile dili la kumteka Slaa pale ufipa lilivyobuma?

Ataandika kwenye Tweet kama jana , kuwa hajawahi kufanya mkutano wa hadhara Mbeya , kama alivyosema jana kuhusu Tunduma .
 
Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?

Nimecheka sana, Director wa movie anaposhindwa kuipanga vizuri.Tabu kwelikweli
 
Naona wananchi wanalishangaa tu hilo kundi linalozomea.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom