Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
Target ya Zitto ilikuwa waziri mkuu, kama waziri mkuu angewajibishwa basi serikali nzima ilikuwa haipo, maana yake Rais angepanga upya baraza lake, Sasa isingekuwa rahisi tena kwa kina muhongo kurudi kwenye nafasi zao, na kama wangerudi basi CCM ndio ilikuwa inakwenda kupasuka msamba
yes target yake zitto ilikuwa ni kumkamata ndani ya nyavu waziri mkuu, lakini frame ya mzee wa vijisenti ilikuwa na katrick ndani kuwa wale woote ambao wameteuliwa na rais wakawajibishwe na aliyewateua so bunge halimteui waziri mkuu, bali kumuidhinisha tu so unaona hapo waziri mkuu alikuwa anaenda kuwajibishwa na raisi na si bunge tena, so mantiki ya kumkamata pinda ilikuwa inapotea automatic, umeona trick hiyo mkuu, means badae tena bunge lilikuwa halina nguvu tena kumuuliza raisi why hujawachukulia hatua, na raisi hata angeulizwa angezuga kuwa anasubiri ushsuri wa vyombo vya usalama vimalize uchunguzi na hadi bunge hili lingefika uko no hatua kuchukuliwa>>>?? Mbowe ailistukia hilo na kupangua goli dakika za mwisho
nauliona jana mama makinda kujifanya kuwapa airtime sana upinzani, mdee, mnyika, lissu, silinde, etc ili kuwapumbaza, but ccm walikuwa wanaenda kushinda goli lakiulaiiiniiii sana kupitia mzee chenge, huyo ni planner mzuri sana na hanaga papara wala kelele, mudaaa mrefuuu alikuwa katulia tu hadi alipopewa nafasi ya kufanya yake.