kweli uchaguzi mwaka huu ni wa kihistoria. haijawahi kutokea jukwaa kuchafuliwa kwa kinyesi cha mgombea urais tangu tumepata uhuru.Watakuja hapa na matusi chungu nzima
Lakin all in all zito kasema la maana hapa
Wasituletee mambo ya kwenye stand ya chato (uharo)
Viva zzk
Zitto hana hoja kwa sasa anavizia vizia kama mnavyomuona kwenye picha yake amekaa kijanjajanja sana kama mpiga dili! Tunataka tuelezwe issues now mambo ya ufisadi isiwe agenda maana hakuna hatua zinachukuliwa so Zitto imekula kwako.
Nimecheka sana,,,,,,"kama mnavyomuona kwenye picha yake amekaa kijanjakijanja sana kama mpiga dili"
Yeye mwenyewe fisadi...kwani ukibaraka huku ukilipwa sio ufisadi. Kwanini aliwasaliti Chadema. Aende zake huko asitufanye mabwege
Kama mwenyewe unajitambua ni mabwege sasa jamaa unamuonea hapa.
Lowassa ndio habari ya mjini kwa sasa