Hivi bado mnaendelea na kampeini ? Mko wapi sasa ? ACT bhana!!!!
Msaliti anatafuta kick siku hizi apate attention maana tulishamsahau kama huyu kibaraka wa mafisadi yupo
mji gani, chato?!Lowassa ndio habari ya mjini kwa sasa
Hoja imebadilika jana baada ya ushuzi wa mpiga pushupUkiwa hawana tena agenda ya msingi
Hoja imebadilika jana baada ya ushuzi wa mpiga pushup
Nyambafuuuuuu
ZITTO KABWE AMPONGEZA MAGUFULI
Kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe amesema mpaka sasa ACT ndicho chama pekee cha upinzani kinachoweza kuzungumzia ufisadi ambao ni tatizo kubwa la maendeleo nchini.Hata hivo anashangazwa na siasa za chadema ambapo kwa sasa chama hicho kinakumbatia mafisadi tofauti na hapo awali. Zitto anasema kati ya wagombea wote wa Urais, mgombea pekee anayechukia ufisadi ni DR Magufuli ambaye pia katangaza neema kwa kuanzisha kitengo maalumu cha kushughulikia mafisadi.
Zitto yupo sahihi,anajitambua kabisa.
Zitto yupo sahihi,anajitambua kabisa.