Zitto aiteta CHADEMA

Zitto aiteta CHADEMA

Hupo sahihi, ni si yeye tu hata mdee amemsifia magufuli.
Ukiwa hufaham siasa na una siasa ya kushikiwa utampinga Zitto.
 
Zitto anajitambua ndiyo maana hata nyumbu wengi ndani ya chadema wanamchukia kwa misimamo yake ya kupinga ufisadi lakini akina mbowe na wenzake ni mafisadi ndiyo maana wanamchukia sana zitto.
 
Mchumia tumbo mbowe aliyeuza chama kwa mafisadi papa.
Mnadhani kwavile kuna kiongozi aliuza nchi nzima kwa Wachina kuokoa kichwa cha mwanae basi kila MTU anaweza kuuza kile anachokiongoza?
 
Zitto anajitambua ndiyo maana hata nyumbu wengi ndani ya chadema wanamchukia kwa misimamo yake ya kupinga ufisadi lakini akina mbowe na wenzake ni mafisadi ndiyo maana wanamchukia sana zitto.
Mbowe atamchukiaje Zito wakati alikuwa anamnunulia hata nguo za kuvaa akiwa UDSM?Muulize Zito suti take ya kwanza maishani aliipata wapi? Na hata maneno anamchukia mbona Zito hajawahi kusema nyie CCM ndio mnaoyaeneza? Mmekuwa michepuko take kuwa anawaambia kunako shughuli?
Wanaume waongo kama nyie ndio mnafedhehesha jamii ya kiume kwa umbeya wenu.
 
Acha kutukana watu wewe mbona unatuma vitu vya kihuni humu utadhani sijui tuko kijiweni kwa wavuta bhangi,Zito awe first lady ki vipi,tuwe na heshima na ustaarabu,jamvini humu wapo watu wenye heshima kubwa sana ktk jamii,kama huna kitu cha kuandika/kuchangia kaa kimya.
 
ACT kdog wanamisimamo co kam chadema na maukawa ambayo yanapelekwa kam upepo, leo m2 fisadi kesho msafi... Ccm ni chama kubwa ata waungane vyama vyote Tanzania Magufuli Kazi tu ikulu ileeeeeee
 
Misingi ya Chadema haipo any more...;
inatia ukakasi
Kimekuwa chama uchwara.
CHAGUA MAGUFULI
#HAPA KAZI TU!!!
 
Kama watu tunakumbuka vizuri, zitto ndiye alikuwa mwanasiasa wa kwanza kumkaribisha lowasa katika ACT baada ya lowasa kukatwa na ccm. Sasa labda aulizwe, kama lowasa angeamua kujiunga act wasingemkaribisha?
 
Chadema toka wameanza kampeni zao sijawahi kuwasikia wakikemea ufisadi mpaka leo hii kwakua wanatembea nao
 
Kama watu tunakumbuka vizuri, zitto ndiye alikuwa mwanasiasa wa kwanza kumkaribisha lowasa katika ACT baada ya lowasa kukatwa na ccm. Sasa labda aulizwe, kama lowasa angeamua kujiunga act wasingemkaribisha?

Alimkaribisha kwa masharti ambayo alijua kabisa FISADI LOWASSA Hawezi kuyatimiza.Hata SLAA Alimpa masharti.
 
Zitto kanend kweli hakuna chama pinzan zaid ya act.ukawa 25 oct utakuwa ukiwa coz wanakumbatia mafsad.
 
Zito hakukubaliana na mfumo dume ndani ya chadema uliojaa ukabila na ukanda
 
Mbowe Form 6 lakini mjanja kama mwenye PhD vile. Kawauza ukawa wote bila kujijua kampa Lowasa
 
Back
Top Bottom