Zitto yeye kawa msemaje wa serikali? hivi ccm nchi hii imewashinda kuongoza sio?Mpaka uambiwe na serikali? Kama zitto kakuambia si inatosha?
Njaa mpk uambiwe na serikali si inaonekana tu kwani huko kwenu haionekani hiyo njaa?Zitto yeye kawa msemaje wa serikali? hivi ccm nchi hii imewashinda kuongoza sio?
Wajibu wa serekali ni upi ktk hiliMpaka uambiwe na serikali? Kama zitto kakuambia si inatosha?
Katika lipi?Wajibu wa serekali ni upi ktk hili
[emoji35]Kama wewe
Njaa gani?Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itangaze hali ya hatari kwa upande wa chakula kwani hali ni mbaya kulingana na upungufu wa wa chakula uliopo nchini.
Kama ni kweli je ni sahihi kwa serikali mpaka isukumwe na wanasiasa katika mambo muhimu kama chakula? Kwanini kama chakula hakuna nchini tusiambiwe ili tujiandae?
Kilo ngapi?mjinga ni mzingo wa kuni mbichi.