Uchaguzi 2020 Zitto agombee urais kwa niaba ya vyama vya upinzani 2020

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Wakuu,

Kama ni kiki kapata sioni mbadala zaidi yake kwa vyama vya upinzani.Ili kuwa wazalendo CUF,Chadema,Act wamsimamishe Zitto kugombea uraisi 2020.

Zitto ni mtaalamu wa siasa za akalipso apewe nafasi kwani sasa ana miaka zaidi ya arobaini.

Wenye povu na rununu ama wenye kuunga mkono karibuni.
 
1.5 trillion ziko wapi?
Jpm bwana nakumbuka ishu ya bombadia Watu walikuwa wakali kweli baada ya tundulisu kusema imeshikwa!
Baada mkaja kukiri wazi!

"Tumekabidhi nchi kwa wahuni na washamba"
Zzk 2017
 
hoja hapa 1.5 trilion iko wapi habari ya urais tunaye magufuli usitake kutoondoa kwnye reli
 
Mm nadhani hoja ya mchakato kumpata mgombea/ wagombea ipate muda mzuri,Haya mambo ya dharula ,tunashuhudia athari zake. Kwa maswali Yale ya kibabe ya mkuu, naona hatari kubwa watalaam wenye weledi wasio na njaa kujiuzulu,vinginevyo kuaibishwa na kupotezwa.Yanatimia ya IDD Amin Dada
 
Mmmmmmhhh serikali haijawahi pata majibu ya maswal magumu kama vile 1.5 tri ziko wapi na watu wasiojulikana Ni wakina Nani. Haijawahi na haitopata.
 
Back
Top Bottom